Kiongozi wa bendi ya Kalunde. Deogratius Mwanambilimbi anashikiliwa na idara ya uhamiaji kanda ya Daresalaam kwa kosa la kuwafanyisha kazi wageni katika bendi yake huku akijua hawana vibali vya kazi na ukaazi. Miongoni mwa wanamuziki hao ni Allan Mulumba, Mwenabantu Kibyabya wote ni raia wa Congo Drc na watapelekwa mahakamani kwa ajili ya kujibu shitaka hilo