Kutoka Kenya mume na mke walioowana na kuishi pamoja kwa miaka 76 hatimaye kufariki pamoja hali iliyopelekea wenyeji wa eneo hilo kuzungumzia mahusiano yao huku wakidai huo ndio upendo wa kweli ambapo mume alifariki akiwa na miaka 101 huku mke wake akiwa na umri wa miaka 94.

Haya ni moja ya maajabu ya ulimwengu lakini nijambo la kushangaza kama sio kujua kusudi la mungu la kuumba mke na mme hakika maisha ya marehemu hawa yana tupa somo kwetu sisi ikiwa tumekuwa na ndoa zenye migogoro ambayo haileti furaha katika familia zetu wakiwa wamedumu kwa mda mrefu toka kukubaliana kwa kiapo cha ndoa kuwa wao ni milele daima hakika hawa wame kufa kifo chema.