Close

Results 1 to 12 of 12
 1. #1
  Senior Member mahakama ya kadhi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  993
  Rep Power
  6
  Likes Received
  31
  Likes Given
  31

  Kubenea tuwekee hapa majina ya wabunge wako walikatiwa shanga bungeni na polisi.

  Akiomba muongozo kutoka kwa mwenyekiti wa bunge mh chenge kubenea aliweka wazi kuwa wapo wabubunge wa upinzani ambao walikatiwa shanga na kuvuliwa nguo za ndani wakati wa zoezi la kuwatoa nje wakati walipofanya fujo bungeni.

  Kwa kuwa kubenea aliwaona wabunge hao pamoja na shanga zao zikiwemo pia nguo za ndani kama alivyodai ifike wakati sasa kubenea atuwekee wazi majina ya wabunge waliokatiwa shanga akiwa anataja kwa jina la mbunge aina na rangi ya shanga zilizokatika pamoja na aina na rangi ya nguo za ndani za kila mbunge wake aliyevuliwa.

  Mbali na hapo kubenea tutamuona mmbea mzandiki na juha wa ajabu sana kwa kuzungumza mambo ya uongo,kwako mzee wa shanga na nguo za ndani tunaomba wataje wabunge hao na shanga zao ili tukuamini.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: Kubenea tuwekee hapa majina ya wabunge wako walikatiwa shanga bungeni na polisi.

  Siku nyingine tumieni AKILI badala ya MASABULI.Kubenea hakuyasema hayo hapa MF.Aliyasema Bungeni,nilitegemea bunge ndiyo limweleze Kubenea hayo.

  Mtakuwa lini na akili japo kidogo ninyi mazezeta.

 3. #3
  Senior Member mahakama ya kadhi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  993
  Rep Power
  6
  Likes Received
  31
  Likes Given
  31

  Re: Kubenea tuwekee hapa majina ya wabunge wako walikatiwa shanga bungeni na polisi.

  We kiazi huna unalojua bora nyamaza tu mwambie mzee wa shanga ataje hayo majina na rangi za shanga za hao wabunge wake.

 4. #4
  Senior Member mahakama ya kadhi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  993
  Rep Power
  6
  Likes Received
  31
  Likes Given
  31

  Re: Kubenea tuwekee hapa majina ya wabunge wako walikatiwa shanga bungeni na polisi.

  Quote Originally Posted by Nyaluhala View Post
  Siku nyingine tumieni AKILI badala ya MASABULI.Kubenea hakuyasema hayo hapa MF.Aliyasema Bungeni,nilitegemea bunge ndiyo limweleze Kubenea hayo.

  Mtakuwa lini na akili japo kidogo ninyi mazezeta.
  We fisi maji mwambie mzee wa shanga athibitishe hoja yake siyo mnatete ujinga tu mda wote mnawaza shanga na nguo za ndani tu viazi kweli nyie.

 5. #5
  Senior Member GURU's Avatar
  Join Date
  Aug 2014
  Location
  Gangstarr
  Posts
  906
  Rep Power
  6
  Likes Received
  26
  Likes Given
  41

  Re: Kubenea tuwekee hapa majina ya wabunge wako walikatiwa shanga bungeni na polisi.

  duu hilo jina la mzee wa shanga kashapewa Kubenea nn......
  Blade of the Ronin

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: Kubenea tuwekee hapa majina ya wabunge wako walikatiwa shanga bungeni na polisi.

  Quote Originally Posted by mahakama ya kadhi View Post
  We fisi maji mwambie mzee wa shanga athibitishe hoja yake siyo mnatete ujinga tu mda wote mnawaza shanga na nguo za ndani tu viazi kweli nyie.

  Hoja ilitolewa bungeni wewe unataka athibitishe hapa MF.Lishauri bunge limbane Kubenea ili athibitishe hoja yake.

 7. #7
  Senior Member mahakama ya kadhi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  993
  Rep Power
  6
  Likes Received
  31
  Likes Given
  31

  Re: Kubenea tuwekee hapa majina ya wabunge wako walikatiwa shanga bungeni na polisi.

  Quote Originally Posted by GURU View Post
  duu hilo jina la mzee wa shanga kashapewa Kubenea nn......
  Kubenea ndiyo mzee wa shanga na nguo za ndani hahaha......jamaa yupo bungeni kazi yake anawaza na kuchungulia shanga tu bure kabisa.

 8. #8
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  8
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Kubenea tuwekee hapa majina ya wabunge wako walikatiwa shanga bungeni na polisi.

  Mzee wa shanga anajidhalilisha tu. labda Jesca Kishoa ambaye anajitafunia mzee wa shanga kwa niaba ya Tumbili ndo shanga zake zilimvulika wakati wakicheza kidali po

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by Nyaluhala View Post
  Hoja ilitolewa bungeni wewe unataka athibitishe hapa MF.Lishauri bunge limbane Kubenea ili athibitishe hoja yake.
  Kwani huko Bungeni alithibitisha? Kama kashindwa kuthibitisha huko bungeni basi aje huku kwenye mtandao wake hata ikiwezekana atumie zile ID zake nyingine aeleze kila kitu

 9. #9
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: Kubenea tuwekee hapa majina ya wabunge wako walikatiwa shanga bungeni na polisi.

  @Nambalapala angethibitisha vipi wakati hata mwenyekiti wa kamati hakumpa muda wa kueleza hoja yake?.Kwa ufupi Chenge alikataa kusikiliza mwongozo wake.Hoja ikazimwa.

  Hana haja ya kutumia ID ya hovyo hapa MF katika kueleza UKWELI, naamini atapambana huko huko bungeni.

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by mahakama ya kadhi View Post
  Kubenea ndiyo mzee wa shanga na nguo za ndani hahaha......jamaa yupo bungeni kazi yake anawaza na kuchungulia shanga tu bure kabisa.

  Sina uhakika kama unajifurahisha tu au ndiyo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia.

 10. #10
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  8
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Kubenea tuwekee hapa majina ya wabunge wako walikatiwa shanga bungeni na polisi.

  Sasa wewe Kubenea mbona umeshajibu?

 11. #11
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  8
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: Kubenea tuwekee hapa majina ya wabunge wako walikatiwa shanga bungeni na polisi.

  KUBENEA ni mmoja wa watu wa pwani ambao ngono kwao nje nje, haoni tabu kuongea kimahaba mahaba Bungeni. Iweje peke yake ndo aone wabunge wakivuliwa shanga na chupi?

 12. #12
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: Kubenea tuwekee hapa majina ya wabunge wako walikatiwa shanga bungeni na polisi.

  Nahisi aliyekatiwa shanga na kuvuliwa chupi na polisi ni JULIANA SHONZA kwa sababu kashazoea kuvuliwa chupi kwa umalaya wake kwa hiyo kubenea alikuwa anamsaidia kuwasilisha tu

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •