Samatta kajiunga na klabu hiyo na kutambushwa mbele y*waandishi wa habari January 29, dili hilo*limekamilika ikiwa ni wiki moja imepita toka akubaliane na mmiliki wa TP Mazembe Moise Katumbi aliyekuwa anataka Mbwana Samatta aende akacheze klabu ya FC Nantes ya Ufaransa, maamuzi ambayo Katumbi aliyafanya baada ya kutoridhishwa na dau la awali lililokuwa limetolewa na KRC Genk.