Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Chenge ANG’AKA,kuhusu mwamngozo uliyohusu sakata la ESCROW.

  Ni thahili sasa rais Magufuli amevutwa shati.Ndoto zake za kutumbuwa majibu zimeingiliwa.Kuna mbunge aliomba mwongozo uliyohusiana na Sakata la ESCROW.Hapo Change akasimama fasta na kuzima hoja fasta fasta.

  RAIS MAGUFULI AMEHUJUMIWA.CCM kupitia wabunge wake ambao ni wengi WAMEMMALIZA.Nategemea kuona serikali MBOVU kuliko ile ya Kikwete.Ukweli huu utajidhirisha punde.Tuvute Subira.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: Chenge ANG’AKA,kuhusu mwamngozo uliyohusu sakata la ESCROW.

  Wabunge wengi wa CCM ni mzigo...... PERIOD

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •