Close

Results 1 to 7 of 7
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  8
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Chezea CHENGE wewe, JESCA KISHOA, JAMES MILYA, KUBENEA, TUNDU LISSU WAMEKAA.

  Waliibuka na miongozi yao isiyo na kichwa Wala miguu huku Tundu Lissu akidesa kwa Zitto, *Said Kubenea kusema matusi mara *wamevuliwa chupi, mara wamevukiwa Shanga.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: Chezea CHENGE wewe, JESCA KISHOA, JAMES MILYA, KUBENEA, TUNDU LISSU WAMEKAA.

  Wewe ni msukule,huelewi chochote.Kwanza ulitakiwa uionee huruma serikali ya CCM kwa kuwa na watu wasioweza kufikiri.Mwongozo Aliotoa Zitto ulikuwa utolewe na Tundu Lisu mapema kama Chenge angekubali ushauri wa Tundu Lisu kuwa YEYE NDIYE KIONGOZI WA UPINZANI KWA WAKATI ULE hivyo apewe nafasi ya kwanza.

  Lakini changaza zaidi miongozo iliyotolewa na Zitto na Lisu imeivua nguo serikali ya CCM kwamba tunaongoza na watu wasioelewa CHOCHOTE.Kwa mujibu wa miongozo hiyo ni kwamba hakuna kitu cha kujadili,NI MSWAADA HEWA,waziri anasimama nusu saa au zaidi kusoma mswaada hewa.ZITTO NA TUNDU LISU wana uelewa wa mambo kuliko wabunge wote wa Maccm na baraza lote la mawaziri la Magufuli.Chenge mwenyewe KAGAFUA(KASHINDWA).

  NI AIBU ILIYOJE.

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: Chezea CHENGE wewe, JESCA KISHOA, JAMES MILYA, KUBENEA, TUNDU LISSU WAMEKAA.

  Quote Originally Posted by TataMadiba View Post
  Waliibuka na miongozi yao isiyo na kichwa Wala miguu huku Tundu Lissu akidesa kwa Zitto, *Said Kubenea kusema matusi mara *wamevuliwa chupi, mara wamevukiwa Shanga.
  Jamani kwani shanga ni tusi au neno la udhalilishaji?????... Hapo ndipo tunapoona elimu yenu ndogo...... shanga inaweza kuvaliwa hata shingoni au mkononi kama urembo.... au mlivyokuwa shule hamkusoma history batter trade wale wazungu walipokuwa wanawapa mababu zetu shanga halafu wao wanapewa madini... Thinking capacity yenu ni ndogo

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  802
  Rep Power
  6
  Likes Received
  62
  Likes Given
  126

  Re: Chezea CHENGE wewe, JESCA KISHOA, JAMES MILYA, KUBENEA, TUNDU LISSU WAMEKAA.

  Quote Originally Posted by TataMadiba View Post
  Waliibuka na miongozi yao isiyo na kichwa Wala miguu huku Tundu Lissu akidesa kwa Zitto, *Said Kubenea kusema matusi mara *wamevuliwa chupi, mara wamevukiwa Shanga.
  Ndiyo mwisho wako wa kufikiri

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  536
  Rep Power
  6
  Likes Received
  20
  Likes Given
  1

  Re: Chezea CHENGE wewe, JESCA KISHOA, JAMES MILYA, KUBENEA, TUNDU LISSU WAMEKAA.

  Quote Originally Posted by TataMadiba View Post
  Waliibuka na miongozi yao isiyo na kichwa Wala miguu huku Tundu Lissu akidesa kwa Zitto, *Said Kubenea kusema matusi mara *wamevuliwa chupi, mara wamevukiwa Shanga.
  pumbavu akili kama una tezi dume kichwani unajikomba mpaka unakuwa kama zezeta haya sasa change kaufyata kaahirisha bunge na serikali imelazimishwa ilete mpango wa miaka mitano na muswada wa sheria

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: Chezea CHENGE wewe, JESCA KISHOA, JAMES MILYA, KUBENEA, TUNDU LISSU WAMEKAA.

  NgeleleFijo,hao team Lumumba ni MAZEZETA.Hakuna kitu kabisa.

  Zitto na Lisu wamewashikisha adamu.Msemaji wa Kambi ya upinzani akawamaliza.AIBUUU YAO.

 7. #7
  Senior Member mahakama ya kadhi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  993
  Rep Power
  6
  Likes Received
  31
  Likes Given
  31

  Re: Chezea CHENGE wewe, JESCA KISHOA, JAMES MILYA, KUBENEA, TUNDU LISSU WAMEKAA.

  Huwa ninashida sana na uelewa wa kubenea nadhani zimeyumba kidogo kichwani sidhani kama ziko sawa.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •