Nappe jana kaomba kipindi cha "LIVE" ili apinge bunge kuruka "LIVE". Hiki ni kichekesho cha karne. Kama anataka bunge liwe RECORDED kwanini yeye jana hakurekodi hiyo Press yake then ikarushwa leo? Unaomba "Live coverage" ili ukapinge "Live Coverage" ya Bunge?? Ni wendawazimu tu ndio wanaweza kumuelewa.!