KWA KUWA sera ya nchi yetu ni kubana matumizi na tumezuia TBC isioneshe BUNGE "LIVE", na KWA KUWA (CUF) imetangaza kutoshiriki uchaguzi wa marudio wa 20 Machi 2016, na KWA KUWA vyama vingine vilivyoshiriki uchaguzi wa 25 Oktoba 2015 havikupata hata asilimia 1 ya kura - ni vema sasa CCM imuelekeze JECHA awathibitishe na kuwateua wagombea wa CCM kwenye udiwani, uwakilishi na Urais wa Zanzibar (Huo uchaguzi hewa usifanyike) na kuokoa mabilioni ya pesa ambayo yatakabidhiwa kwa TBC iturudishie LIVE yetu!

How does it sound enh?