Close

Results 1 to 6 of 6
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  8
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  WAZANZIBARI WEUSI, WANA MAPINDUZI WATAPIGA KURA 20 MACHI 2016

  Wao ndiyo wanaojua thamani ya Zanzibar, wao ndiyo wanaojua maumivu waliyoyapata wakati wa Mapinduzi ya kumuondoa Sultani ambaye leo anataka kurudi kupitia mlango wa nyuma.
  Machotara wote siku hiyo waitumie kufikisha salaamu kwa Sultani kwamba Weusi wamemstukia.
  Kamwe siwezi kuungana na yeyote anayetaka kuyadhalilisha Mapinduzi haya, eti kwa sababu tu ya kutaka kuiondoa CCM visiwani Zanzibar.
  Wazanzibar msikubali, jitokezeni Machi 20, 2016 Mumdhalilishe Sultani.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: WAZANZIBARI WEUSI, WANA MAPINDUZI WATAPIGA KURA 20 MACHI 2016

  hizo ni kauli za kibaguzi tuondolee huu upuuzi wako wangeandika hivyo magazeti mngeyafutia usajiri kwa vile mnaongea nyinyi watu wa CCM mnajiona mko sawa......... SHAME INDEED..!!

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: WAZANZIBARI WEUSI, WANA MAPINDUZI WATAPIGA KURA 20 MACHI 2016

  Quote Originally Posted by TataMadiba View Post
  Wao ndiyo wanaojua thamani ya Zanzibar, wao ndiyo wanaojua maumivu waliyoyapata wakati wa Mapinduzi ya kumuondoa Sultani ambaye leo anataka kurudi kupitia mlango wa nyuma.
  Machotara wote siku hiyo waitumie kufikisha salaamu kwa Sultani kwamba Weusi wamemstukia.
  Kamwe siwezi kuungana na yeyote anayetaka kuyadhalilisha Mapinduzi haya, eti kwa sababu tu ya kutaka kuiondoa CCM visiwani Zanzibar.
  Wazanzibar msikubali, jitokezeni Machi 20, 2016 Mumdhalilishe Sultani.

  WAZANZIBAR WEUSI ?Jitafakari kama una akili sawa sawa.

 4. #4
  Senior Member GURU's Avatar
  Join Date
  Aug 2014
  Location
  Gangstarr
  Posts
  906
  Rep Power
  6
  Likes Received
  26
  Likes Given
  41

  Re: WAZANZIBARI WEUSI, WANA MAPINDUZI WATAPIGA KURA 20 MACHI 2016

  Harufu ya kibaguzi inazidi kusambazwa na wapenda sifa wasiojua tunu ya amani.
  Blade of the Ronin

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  802
  Rep Power
  6
  Likes Received
  62
  Likes Given
  126

  Re: WAZANZIBARI WEUSI, WANA MAPINDUZI WATAPIGA KURA 20 MACHI 2016

  Bila ubaguzi hakuna TataMadiba hakuna CCM.

 6. #6
  Senior Member Malaria Sugu's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Location
  Mujini
  Posts
  2,295
  Rep Power
  8
  Likes Received
  169
  Likes Given
  29

  Re: WAZANZIBARI WEUSI, WANA MAPINDUZI WATAPIGA KURA 20 MACHI 2016

  Tatamadiba.Hawa wote ni waislam. Ikiwa mweusi au mweupe
  Siasa sio Ugomvi, Siasa ni hoja

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •