Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Ifika mahala wananchi waseme inatosha.Na Fatma A. Karume

  Hayo ni maneno ya mjukuu wa mwasisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mzee Abeid Aman Karume katika Kongamano la wazi liliofanyika tarehe 24/1/2016.Mwanzo nilifikiri alikuwa anawaambia Wazanzibar kutokana na dhuluma iliyopitiliza iliyofanywa na CCM HUKO Zanzibar.

  Lakini baada ya mfululizo wa matukio ya ajabu ajabu yanayoendelea kufanywa na serikali ya CCM kila kukicha,nimejidhihirisha bila shaka kuwa huu ulikuwa ujumbe kwa Watanzania wote yaani kwa wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

  Baada ya dhuluma waliofanyiwa Wazanzibar na baadae KUFUTWA gazeti la Mawio na hatimaye kwenye mbali zaidi tena bila woga kwa KUVUNJA Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania inaiyompa mwanachi HAKI ya kupata taarifa,nini tena tutarajie?.

  Hapo ndipo ninapoungana na Fatma A.Karume,IFIKE MAHALA WANANCHI WASEME INATOSHA.
  Last edited by Nyaluhala; 28-01-2016 at 21:05.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: Ifika mahala wananchi waseme inatosha.Na Fatma A. Karume

  CCM endeleeni kutawala kiubabe mpaka mfe CUF wameshagomea uchaguzi

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •