Close

Results 1 to 9 of 9
Like Tree1Likes
 • 1 Post By Nyaluhala

Thread: WABUNGE WA UPINZANI WAMESHASAINI BOOM, WAJIENDEA ZAO KULA BATA

 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  8
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  WABUNGE WA UPINZANI WAMESHASAINI BOOM, WAJIENDEA ZAO KULA BATA

  Kumbe wao lengo lao kuuza sura kupitia TV na siyo kuwawakillisha wapiga kura wao. Haooooooooooo, wamewkwenda zao kula Bata.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  Re: WABUNGE WA UPINZANI WAMESHASAINI BOOM, WAJIENDEA ZAO KULA BATA

  Ikiwa miaka yote bunge limekuwa likirushwa moja kwa moja sasa iweje leo hii ionekane gharama tuache propaganda za kikoloni nchi hii haina mwenye mamlaka nje ya katiba ianayo muamuru kila mtanzania kupata habari kwa uhuru na amani sasa leo tuonyeshwe bunge lililo rekodiwa kweli vikao hivyo ni zaidi ya masaa5 ukirekodi watu watalala saangapi na ikiwa wanatakiwa asubuhi waka wajibike katika kulijenga Taifa
  punda hajasoma lakini kazi hakosi

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  8
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: WABUNGE WA UPINZANI WAMESHASAINI BOOM, WAJIENDEA ZAO KULA BATA

  mkombozi, nawe unaunga mkono kabisa kutorusha matangazo live ni hoja kweli ya watu wanaotumia mamiliomi ya pesa kutoaka nje ya Bunge?

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  8
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: WABUNGE WA UPINZANI WAMESHASAINI BOOM, WAJIENDEA ZAO KULA BATA

  Wabunge wa upinzani wakimsikiliza mpuuzi Kubenea hakika watasahaulika kabisa

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  8
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: WABUNGE WA UPINZANI WAMESHASAINI BOOM, WAJIENDEA ZAO KULA BATA

  mihemuko ya KUBENEA hovyo kabisa.

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: WABUNGE WA UPINZANI WAMESHASAINI BOOM, WAJIENDEA ZAO KULA BATA

  Quote Originally Posted by TataMadiba View Post
  Kumbe wao lengo lao kuuza sura kupitia TV na siyo kuwawakillisha wapiga kura wao. Haooooooooooo, wamewkwenda zao kula Bata.
  Chama tawala kinaendesha bunge la kipuuzi

 7. #7
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: WABUNGE WA UPINZANI WAMESHASAINI BOOM, WAJIENDEA ZAO KULA BATA

  Quote Originally Posted by TataMadiba View Post
  mkombozi, nawe unaunga mkono kabisa kutorusha matangazo live ni hoja kweli ya watu wanaotumia mamiliomi ya pesa kutoaka nje ya Bunge?

  Watu kama hawa tuwasaidieje hadi kufikia hatua ya kujitambuwa?.

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Wabunge wa upinzani wakimsikiliza mpuuzi Kubenea hakika watasahaulika kabisa
  Ujinga huu ndiyo ulioupandisha chati Chadema.Inaelekea CCM haijajifunza kitu.
  Last edited by Nyaluhala; 28-01-2016 at 16:00.

 8. #8
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  8
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: WABUNGE WA UPINZANI WAMESHASAINI BOOM, WAJIENDEA ZAO KULA BATA

  Nyaluhala, chini ya TINGATINGA itakuwa kinyume chake. chadema wsome alama za nyakati wasikariri.

 9. #9
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: WABUNGE WA UPINZANI WAMESHASAINI BOOM, WAJIENDEA ZAO KULA BATA

  TataMadiba,TINGA TINGA imeshashindwa.Tena imeshindwa vibaya.Kiongozi yoyote anayeshindwa kufuata Katiba aliyoapa kuilinda hawezi kuwa kiongozi bora.Upinzani utaimarika mara 3 zaidi ya awamu ya Kikwete.TUNZA SANA UJUMBE HUU.
  KISIKI likes this.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •