papa franscis amasema internet ni zawadi kutoka kwa mungu. ila ameonya mawasiliano ya kidigital yasichukue nafasi ya mawasiliano ya uso kwa uso.


nini maoni yako?????