Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  35
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  kwa nini kunaongezeko la watu wanene nchini?

  zamani nilikuwa nikiona mtu mnene mara nyngi nilijua kama sio mwanasiasa basi ni meneja wa benk (utotoni).
  siku za usoni watu wameanza kunenepa ovyo hadi nashangaa. kila rafiki kijana naona anapooa tu mpe mwezi tayari shingo limeshafunikwa. Akipata kazi muda si muda huyo anaaza mazoezi eti BMI iko above range. wadada ndio balaa zaidi, idad ya wadada wenye vitambi inatisha.

  wakati wa zamani kukutana na mtoto bonge uswahilini ilikuwa ni kichekesho. tutakuonea hadi utapungua tu. maana maisha yenyewe ni mazoezi. sasa hivi watoto wadogo teens mabonge kibao.

  tatizo ni nin jamani?

 2. #2
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  4
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: kwa nini kunaongezeko la watu wanene nchini?

  Quote Originally Posted by MKARUKA View Post
  zamani nilikuwa nikiona mtu mnene mara nyngi nilijua kama sio mwanasiasa basi ni meneja wa benk (utotoni).
  siku za usoni watu wameanza kunenepa ovyo hadi nashangaa. kila rafiki kijana naona anapooa tu mpe mwezi tayari shingo limeshafunikwa. Akipata kazi muda si muda huyo anaaza mazoezi eti BMI iko above range. wadada ndio balaa zaidi, idad ya wadada wenye vitambi inatisha.

  wakati wa zamani kukutana na mtoto bonge uswahilini ilikuwa ni kichekesho. tutakuonea hadi utapungua tu. maana maisha yenyewe ni mazoezi. sasa hivi watoto wadogo teens mabonge kibao.

  tatizo ni nin jamani?
  Hayo ni madhara hasi ya utandawazi kwa ujumla.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •