Close

Results 1 to 8 of 8
 1. #1
  Super Moderator Masalu's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  1,095
  Rep Power
  10
  Likes Received
  76
  Likes Given
  41

  BREAKING NEWS: UKAWA WASHINDA UMEYA MANISPAA YA KINONDONI  Diwani wa Kata ya Ubungo kwa tiketi ya Chadema, Boniface Jacob ameshinda Umeya Manispaa ya Kinondoni baada ya kupata kura 38 dhidi ya Benjamini Sitta kura 20.

  Uchaguzi wa Naibu Meya unaendelea.

 2. #2
  Super Moderator Masalu's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  1,095
  Rep Power
  10
  Likes Received
  76
  Likes Given
  41

  Re: BREAKING NEWS: UKAWA WASHINDA UMEYA MANISPAA YA KINONDONI

  Wafuasi wa Ukawa wakimpongeza Boniface Jacob baada ya kushinda Umeya Kinondoni

  - - - Updated - - -

  Manispaa ya Kinondoni yaongozwa na UKAWA, Meya Bonifas Jacob (CHADEMA) Diwani Ubungo
  Naibu Meya Jumanne Amir Mbunju (CUF) Diwani Tandale

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: BREAKING NEWS: UKAWA WASHINDA UMEYA MANISPAA YA KINONDONI

  Tunasubiri MANISPAA KUU

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: BREAKING NEWS: UKAWA WASHINDA UMEYA MANISPAA YA KINONDONI

  Hakika haki imeshinda dhuluma

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Nov 2015
  Posts
  133
  Rep Power
  5
  Likes Received
  4
  Likes Given
  2

  Re: BREAKING NEWS: UKAWA WASHINDA UMEYA MANISPAA YA KINONDONI

  kweli huyu si mpiga debe stendi ubungo kweli ukawa matapeli sijui wananchi watamkumbuka masaburi
  Chama Imara CCM Daima]

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: BREAKING NEWS: UKAWA WASHINDA UMEYA MANISPAA YA KINONDONI

  Lile masaburi kubwa jinga alikumbuke nani?

 7. #7
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: BREAKING NEWS: UKAWA WASHINDA UMEYA MANISPAA YA KINONDONI

  Quote Originally Posted by livingstone View Post
  kweli huyu si mpiga debe stendi ubungo kweli ukawa matapeli sijui wananchi watamkumbuka masaburi
  Unamzungumzia yule matako au nani, kweli ccm mataahira wote

 8. #8
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  62
  Likes Given
  126

  Re: BREAKING NEWS: UKAWA WASHINDA UMEYA MANISPAA YA KINONDONI

  Quote Originally Posted by livingstone View Post
  kweli huyu si mpiga debe stendi ubungo kweli ukawa matapeli sijui wananchi watamkumbuka masaburi
  Kachaguliwa na wapiga kura akaaminiwa na madiwani wenzie kuwa Meya. Kama hulielewi hilo basi wewe gonjwa

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •