Wanafunzi 324,068 (89%) kati ya 363,666 waliofanya mitihani mwaka 2015 wamefaulu kuendelea kidato cha III.
Wanafunzi 39,567(11%) wamefeli.
Pia ufaulu umeshuka kwa masomo ya Uraia, Historia, Jiografia, Kiingereza, Fizikia, Biolojia, Hisabati na "Book Keeping".
Chanzo cha Habari (Baraza la Mitihani la Taifa - NECTA).