MATOKEO KIDATO CHA II:
Wanafunzi 324,068 (89%) kati ya 363,666 waliofanya mitihani mwaka 2015 wamefaulu kuendelea kidato cha III.

Wanafunzi 39,567(11%) wamefeli, pia ufaulu umeshuka kwa masomo ya Uraia, Historia, Jiografia, Kiingereza, Fizikia, Biolojia, Hisabati, "Book Keeping"

Chanzo cha Habari : Necta kama ilivyonukuliwa na Mwananchi