Close

Results 1 to 3 of 3
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  8
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  UGOMVI WA GWAJIMA NA LOWASSA: NATHAMANI KUSIKIA NENO KUTOKA KWA MBOWE

  Tumesikia mengi kuhusu Lowassa kuhamia CHADEMA. Waasisi watatu wa Lowssa kuhamia Chadema ni Dr. Slaa, Freeman Mbowe na Mshenga Gwajima. Tangu Lowassa ahamie Chadema na kuteuliwa kugombea urais kupitia chama hicho na kushindwa kwake, tumekuwa tukisia maneno maneno kati ya Gwajima, Dr. Slaa na sasa ni maneno kati ya Dr. Slaa, Gwajima na Lowassa. Dr. Slaa vs Gwajima na Gwajima vs Lowassa.

  Ukimya wa Mbowe kuongelea sakata hili linatuambia nini? Hajui kinachoendelea? Kuna kitu anaogopa akitia neno kitamrudia? Au ni mstaarabu?

  Nathamani kusikia neno kutoka kwa MBOWE, mwenyekiti wa Chadema Taifa. KIU YANGU KUBWA NI MBOWE ANAMZUNGUMZIAJE GWAJIMA hasa baada ya Gwajima kusema hakuwahi kumuunga mkono Lowassa bali mabadiliko.
  Hofu yangu: Mbowe akifungua kinywa chake kumzungumzia Gwajima yanaweza kumtokea puani, LABDA aamue kumsema kwa mazuri, jambo ambalo pia ni gumu kwa sababu atakosa MAZIWA.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Apr 2014
  Posts
  321
  Rep Power
  6
  Likes Received
  12
  Likes Given
  1

  Re: UGOMVI WA GWAJIMA NA LOWASSA: NATHAMANI KUSIKIA NENO KUTOKA KWA MBOWE

  Kosa kubwa alilofanya Gwajima ni kusema Maaskofu wamehongwa na Lowassa akaacha mtu hasa aliyehongwa ambaye ni Mbowe. Dhambi hiyo ya unafiki haitamuacha. Katika hili Mbowe na Gwajima lazima watunziane siri kama Padri anavyotunza siri za waumini wanapokwenda kuungama kwake.

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  145
  Rep Power
  5
  Likes Received
  10
  Likes Given
  0

  Re: UGOMVI WA GWAJIMA NA LOWASSA: NATHAMANI KUSIKIA NENO KUTOKA KWA MBOWE

  Mh. Sijui?

  - - - Updated - - -

  BOENG, unaweza kuwa umegonga ikulu.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •