Close

Results 1 to 8 of 8
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Makatibu Wakuu Watatu kwenye Wizara Moja ...... Hii imekaaje!!!?

  Kwenye uteuzi wa Makatibu wakuu jana kuna Wizara zina makatibu wakuu zaidi ya mmoja. Hii imekaaje? Kwa uzoefu wangu sijawahi kuona wala kusikia teuzi kama hizi. Kwa kawaida Katibu Mkuu wa Wizara ni mtendaji mkuu au accounting Officer wa hiyo wizara.

  Rais pamoja na kupunguza idadi ya Mawaziri, teuzi za makatibu Wakuu kibao zinaonyesha ni jinsi gani serikiali yake ilivyo kubwa kama kawaida!!!

  Hizi ni baadi ya Wizara zenye Makatibu zaidi ya mmoja!!

  Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge, Sera, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu)
  Erick Shitindi (Katibu Mkuu Kazi na Ajira)
  Mussa Uledi (Katibu Mkuu Bunge)
  Dkt. Hamis Mwinyimvua (Katibu Mkuu - Sera)

  Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
  Dkt. Frolence Turuka (Katibu Mkuu - Kilimo)
  Dkt. Mashingo (Katibu Mkuu Mifugo)
  Dkt. Budeba (Katibu Mkuu - Uvuvi)

  Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
  Mhandisi Joseph. Nyamuhanga (Katibu Mkuu - Ujenzi)
  Dkt. Leonard M. Chamuliho (Katibu Mkuu - Uchukuzi)
  Profesa Faustine R. Kamuzora (Katibu Mkuu - Mawasiliano)
  Mary Sassabo (Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano)

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  473
  Rep Power
  5
  Likes Received
  10
  Likes Given
  6

  Re: Makatibu Wakuu Watatu kwenye Wizara Moja ...... Hii imekaaje!!!?

  huu ni ufujaji wa hela za wananchi sasa wizara moja mnaweka makatibu wakuu wa 3 wa nini wote wao sasa ulijifanya unapunguza wizara kumbe unaajendaa zakoo

 3. #3
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Makatibu Wakuu Watatu kwenye Wizara Moja ...... Hii imekaaje!!!?

  Huyu hana tofauti na mzee wa tezi dume.

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: Makatibu Wakuu Watatu kwenye Wizara Moja ...... Hii imekaaje!!!?

  Sababu ya msingi ya wizara mmoja kuweka makatibu wakuu watatu bado sijaiona

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  8
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Makatibu Wakuu Watatu kwenye Wizara Moja ...... Hii imekaaje!!!?

  Quote Originally Posted by Aggrey Lugano View Post
  huu ni ufujaji wa hela za wananchi sasa wizara moja mnaweka makatibu wakuu wa 3 wa nini wote wao sasa ulijifanya unapunguza wizara kumbe unaajendaa zakoo
  Kani unajua hizo ofisi zina wafanyakazi wangapi na wanafanya kazi gani?

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  441
  Rep Power
  5
  Likes Received
  4
  Likes Given
  0

  Re: Makatibu Wakuu Watatu kwenye Wizara Moja ...... Hii imekaaje!!!?

  aaaa jamani kazi ya kutumbvua majipu mchezo lazima kuwe na anaye Tumbua, Waku kamua kipeke na Wamwisho kuweka dawa
  shida za watanzania nina zijua

 7. #7
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Makatibu Wakuu Watatu kwenye Wizara Moja ...... Hii imekaaje!!!?

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Kani unajua hizo ofisi zina wafanyakazi wangapi na wanafanya kazi gani?
  Wewe unayejua tuambie.

 8. #8
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: Makatibu Wakuu Watatu kwenye Wizara Moja ...... Hii imekaaje!!!?

  Quote Originally Posted by Francis Pungumwai View Post
  Kwenye uteuzi wa Makatibu wakuu jana kuna Wizara zina makatibu wakuu zaidi ya mmoja. Hii imekaaje? Kwa uzoefu wangu sijawahi kuona wala kusikia teuzi kama hizi. Kwa kawaida Katibu Mkuu wa Wizara ni mtendaji mkuu au accounting Officer wa hiyo wizara.

  Rais pamoja na kupunguza idadi ya Mawaziri, teuzi za makatibu Wakuu kibao zinaonyesha ni jinsi gani serikiali yake ilivyo kubwa kama kawaida!!!

  Hizi ni baadi ya Wizara zenye Makatibu zaidi ya mmoja!!

  Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge, Sera, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu)
  Erick Shitindi (Katibu Mkuu Kazi na Ajira)
  Mussa Uledi (Katibu Mkuu Bunge)
  Dkt. Hamis Mwinyimvua (Katibu Mkuu - Sera)

  Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
  Dkt. Frolence Turuka (Katibu Mkuu - Kilimo)
  Dkt. Mashingo (Katibu Mkuu Mifugo)
  Dkt. Budeba (Katibu Mkuu - Uvuvi)

  Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
  Mhandisi Joseph. Nyamuhanga (Katibu Mkuu - Ujenzi)
  Dkt. Leonard M. Chamuliho (Katibu Mkuu - Uchukuzi)
  Profesa Faustine R. Kamuzora (Katibu Mkuu - Mawasiliano)
  Mary Sassabo (Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano)

  Alichokifanya Magufuli ni kwamba kawaondoa mawaziri tu lakini makatibu wapo.Kwa hiyo wizara HAZIJAPUNGUA saaana.

  Kwa haraka haraka hapo kuna wizara 10,yaani 7 zimejificha.KWA HIYO zile wiraza 19 zilizo wazi ambazo Magufuli alizitangaza na 7 zilizojificha.Jumla kuna wizara 26.

  Nawasilisha

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •