Close

Results 1 to 5 of 5
 1. #1
  Super Moderator Masalu's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  1,095
  Rep Power
  10
  Likes Received
  76
  Likes Given
  41

  BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI ATANGAZA MAKATIBU WAKUU WA WIZARA

  Majina ya Makatibu na Manaibu Makatibu Wakuu wapya walioteuliwa na Rais John Magufuli haya hapa
  Last edited by Masalu; 30-12-2015 at 21:19.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  8
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI ATANGAZA MAKATIBU WAKUU WA WIZARA

  Uteuzi umetulia. Kweli Rais Magufuli amedhamiria kuineemesha nchi hii. Nimefurahi kumrejesha Maswi kundini

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI ATANGAZA MAKATIBU WAKUU WA WIZARA

  Nambalapala kwani Maswi alifanya upuuzi gani before mpaka leo ufurahie kurudishwa kwake

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  8
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI ATANGAZA MAKATIBU WAKUU WA WIZARA

  Francis, Maswi hakufanya kosa lolote. Ni mafisadi tu na madalali walimkomalia mpaka akaondolewa kwenye nafasi ya Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini

 5. #5
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI ATANGAZA MAKATIBU WAKUU WA WIZARA

  Nambalapala Francis Maswi ndiyo nani huyo?

  - - - Updated - - -

  Nambalapala Francis Maswi ndiyo nani huyo? Au ulimaanisha Eliakimu Maswi?

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •