Close

Results 1 to 8 of 8
Like Tree1Likes
 • 1 Post By Aggrey Lugano

Thread: MAKONTENA MOVIE EPISODE 3 KEEP WATCHING UJINGA UJINGA TU

 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  MAKONTENA MOVIE EPISODE 3 KEEP WATCHING UJINGA UJINGA TU

  Rekodi nyingine ya kuvutia........Geti namba 5 Bandari ya Dar es salaam linaongoza kwa kupoteza mabilioni mengi zaidi ya pesa kulinganisha na mageti mengine yote duniani. Kwanini tusilifanye kama kivutio cha watalii...Utalii sio Kilimanjaro na serengeti peke yake......

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  473
  Rep Power
  5
  Likes Received
  10
  Likes Given
  6

  Re: MAKONTENA MOVIE EPISODE 3 KEEP WATCHING UJINGA UJINGA TU

  hilo geti 5 hilo balaa sana lichukuliwe hatua
  Siasa Safi likes this.

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: MAKONTENA MOVIE EPISODE 3 KEEP WATCHING UJINGA UJINGA TU

  Ni moja kati ya mageti maarufu duniani................. kweli tanzania shamba la bibi

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Nov 2015
  Posts
  153
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  13

  Re: MAKONTENA MOVIE EPISODE 3 KEEP WATCHING UJINGA UJINGA TU

  Quote Originally Posted by Francis Pungumwai View Post
  Rekodi nyingine ya kuvutia........Geti namba 5 Bandari ya Dar es salaam linaongoza kwa kupoteza mabilioni mengi zaidi ya pesa kulinganisha na mageti mengine yote duniani. Kwanini tusilifanye kama kivutio cha watalii...Utalii sio Kilimanjaro na serengeti peke yake......
  Kwa upeo wangu mdogo, kwenye mchezo wa mpira, Namba 5 ndiye beki wa mwisho kabla ya kukutana na Kipa, kama namba 5 anapitwa kirahisi basi timu hiyo inakuwa kama kichwa cha mwendawazimu.
  Kuhusu rekodi ya dunia, hata mimi nakubali, ni ajabu sana kupitisha mizigo kiholela. Ni afadhali tungempa hilo geti Rais Kagame atuingizie pesa yetu, kuliko hao "mchwa wenye ukubwa wa nguruwe".
  Hivi kama katika kipindi cha miezi sita kuna mabilioni yamepotea, hili katika miaka 10, ni shilingi ngapi? Wanaohusika wafilisiwe kabisa.
  Nawasilisha.

 5. #5
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: MAKONTENA MOVIE EPISODE 3 KEEP WATCHING UJINGA UJINGA TU

  Mimi nalia na mzee wa tezi dume tu.

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  473
  Rep Power
  5
  Likes Received
  10
  Likes Given
  6

  Re: MAKONTENA MOVIE EPISODE 3 KEEP WATCHING UJINGA UJINGA TU

  yote haya JK aliyafumbia macho sasa hivi ndio limekuwa tatizo JK aliwalea sana mafisadi

 7. #7
  Senior Member Mchwa's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  161
  Rep Power
  6
  Likes Received
  3
  Likes Given
  8

  Re: MAKONTENA MOVIE EPISODE 3 KEEP WATCHING UJINGA UJINGA TU

  wacha kiama chao kitafikia mwisho awamu hii na masu ndio amekuja kwa nguvu mpya
  "LOWASA NI FISADI HATUWEZI KUKUPA IKULU"

 8. #8
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  221
  Rep Power
  5
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  Re: MAKONTENA MOVIE EPISODE 3 KEEP WATCHING UJINGA UJINGA TU

  watajuta walizoea vya bure sasa vinawatokea puaniii

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •