Close

Results 1 to 4 of 4
Like Tree3Likes
 • 1 Post By Francis Pungumwai
 • 1 Post By Francis Pungumwai
 • 1 Post By Najitetea

Thread: ZANZIBAR NI KAMA'' MCHEZO WA WENDAWAZIMU'' AU VICHAA

 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  ZANZIBAR NI KAMA'' MCHEZO WA WENDAWAZIMU'' AU VICHAA

  Watu wakishapora uchaguzi ndipo wanaanzisha sababu za “kijinga” na “kuanzisha mazungumzo”. Yaani mnashiriki kwenye uchaguzi ambao mnajua mnaweza kushindwa, halafu mkishindwa mnakatalia madarakani kisha mnaanzisha “mazungumzo ya kutatua mgogoro”.

  Kwamba unakuta vyama vinashiriki kwenye uchaguzi huku jengo la kutatulia mzozo linajengwa na viti vinanunuliwa na mapambo yanawekwa humo, mbinu za kupora uchaguzi kwa kura za wizi zikishindikana ndipo mnaita upande wa pili mezani na kuanza kutatua hicho kinachotwa “mgogoro”.

  Vitendo vya namna hii kama kuna mtu amekaa pembeni anaweza kuona kama “mchezo wa wendawazimu” au “vichaa’.
  Najitetea likes this.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  8
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: ZANZIBAR NI KAMA'' MCHEZO WA WENDAWAZIMU'' AU VICHAA

  Maalim Seif ndo wa kulaumiwa kwanza , kama alijua yeye ndo mshindi alitakiwa asubiri ZEC imtangaze na siyo kujitangaza mwenyewe.

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: ZANZIBAR NI KAMA'' MCHEZO WA WENDAWAZIMU'' AU VICHAA

  Kama matokeo aliyo tangaza maalim SEIF ni ya uongo kwa nini ZEC wasitangaze ya ukweli? ili tuone uhalali wa kura hizo
  Najitetea likes this.

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Nov 2015
  Posts
  153
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  13

  Re: ZANZIBAR NI KAMA'' MCHEZO WA WENDAWAZIMU'' AU VICHAA

  Kuna watu wanajiona kuwa amezaliwa kushinda tu, yote haya kayataka CCm. Maalim kujitangaza ni kujilinda kwa kuwa ameibiwa sana na CCM. Sasa Cuf imewakamata pabaya....NATAMANI KUANDAMANA.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •