Close

Results 1 to 3 of 3
Like Tree1Likes
 • 1 Post By KISIKI

Thread: MAGUFULI CHAMA GANI?

 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  466
  Rep Power
  6
  Likes Received
  25
  Likes Given
  1

  MAGUFULI CHAMA GANI?

  Naomba kujua jee mh Magufuli anatokea upinzani au CCM?
  Maana napata shida sana kufahamu hasa ukizingatia Magufuli anatokea ccm ambayo ndio ndio anayongoza kikwetwe.
  Sasa haya majipu kayatengeneza nani? kupitia Chama gani?

  Mbona watu ndani ya chama hawashighilikiwi kutokana na kuunda majipu haya?
  au ndio mfumo wa Chama changu kwamba chama mwanzo nchi baadae?

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: MAGUFULI CHAMA GANI?

  Majipu yanayo tumbuliwa ni kutoka CCM mnakanyagana wenyewe kwa wenyewe

 3. #3
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: MAGUFULI CHAMA GANI?

  Chama Cha Mafisadi

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •