Close

Results 1 to 4 of 4
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  473
  Rep Power
  5
  Likes Received
  10
  Likes Given
  6

  CUF yawataka Wazanzibari kuwapuuza CCM

  Chama cha Wananachi (CUF) , kimewataka Wazanzibari kusubiri taarifa rasmi itakayotolewa na viongozi wanaoshiriki mazungumzo ya kutafutia ufumbuzi wa mgogoro wa Zanzibar badala ya kusikiliza kauli zinazotolewa na upande mmoja.

  Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma wa CUF, Ismail Jussa alisema kauli rasmi itatolewa baada ya kumalizika kwa vikao vya wakuu hao na uamuzi wake kutangazwa. Aliwataka Wazanzibari kuvuta subira na kumpa nafasi Rais John Magufuli ambaye anaendelea na juhudi katika ngazi za juu kabisa za kuhimiza kupatikana ufumbuzi wa haraka wa mgogoro huo.

  Kauli ya CUF imefuatia taarifa iliyotolewa na CCM siku nne zilizopita baada ya kumalizika kwa kikao cha Kamati Maalumu ya chama hicho iliyowataka wanachama wao kujitayarisha na uchaguzi wa marejeo.

  “Wazanzibari wapuuze taarifa ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Zanzibar, kwani haina lolote jipya zaidi ya kutaka kufunika kombe,” alisema Jussa.

 2. #2
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: CUF yawataka Wazanzibari kuwapuuza CCM

  Maccm ni ya kupuuzwa tu.

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  8
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: CUF yawataka Wazanzibari kuwapuuza CCM

  Quote Originally Posted by Aggrey Lugano View Post
  Chama cha Wananachi (CUF) , kimewataka Wazanzibari kusubiri taarifa rasmi itakayotolewa na viongozi wanaoshiriki mazungumzo ya kutafutia ufumbuzi wa mgogoro wa Zanzibar badala ya kusikiliza kauli zinazotolewa na upande mmoja.

  Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma wa CUF, Ismail Jussa alisema kauli rasmi itatolewa baada ya kumalizika kwa vikao vya wakuu hao na uamuzi wake kutangazwa. Aliwataka Wazanzibari kuvuta subira na kumpa nafasi Rais John Magufuli ambaye anaendelea na juhudi katika ngazi za juu kabisa za kuhimiza kupatikana ufumbuzi wa haraka wa mgogoro huo.

  Kauli ya CUF imefuatia taarifa iliyotolewa na CCM siku nne zilizopita baada ya kumalizika kwa kikao cha Kamati Maalumu ya chama hicho iliyowataka wanachama wao kujitayarisha na uchaguzi wa marejeo.

  “Wazanzibari wapuuze taarifa ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Zanzibar, kwani haina lolote jipya zaidi ya kutaka kufunika kombe,” alisema Jussa.
  NAONA mmemua kuoonea huruma Zanzibar kuliko Wazanzibari wenyewe. Nendeni Monduli mkamsaidie Mzee wa kujinyea kuchunga ili mpunguze msongo wa mawazo wa kubwagwa na CCM

  - - - Updated - - -

  KISIKI kuna mwana CCM alikupa Mimba akakutelekeza nini?

 4. #4
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: CUF yawataka Wazanzibari kuwapuuza CCM

  Tatizo lako tatamadiba unatumia TIGO kufikiri,wacha ukameruni dogo.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •