Close

Results 1 to 7 of 7
Like Tree1Likes
 • 1 Post By Nyaluhala

Thread: Breaking News: Chadema kuanika mipango haramu ya kuhuju chaguzi za mameya Nchini

 1. #1
  Senior Member kichondi77's Avatar
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  183
  Rep Power
  6
  Likes Received
  11
  Likes Given
  5

  Breaking News: Chadema kuanika mipango haramu ya kuhuju chaguzi za mameya Nchini

  Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo kimeitisha mkutano na wasndishi habari makao makuu ya chama hicho.
  Taarifa ya mkuu wa habari wa chama hicho Tumaini Makene inasema ......"Naomba kukutaarifu na kukialika chombo chako kwenye press conference leo saa 6 mchana, Makao Makuu ya Chama, Kinondoni."
  Kuna masuala mazito hususan kuendelea kubainika kwa MIPANGO ovu inayopangwa kuhujumu chaguzi za kuwapata mameya na manaibu wao na wenyeviti na makamu wao katika manispaa na halmashauri mbalimbali hasa zile ambazo vyama vya UKAWA vimeshinda madiwani wengi na vinastahili dhamana ya kuongoza.
  You can fool some people some time but you can't fool all the people all the time

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  473
  Rep Power
  5
  Likes Received
  10
  Likes Given
  6

  Re: Breaking News: Chadema kuanika mipango haramu ya kuhuju chaguzi za mameya Nchini

  duuh hii hatariii

 3. #3
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Breaking News: Chadema kuanika mipango haramu ya kuhuju chaguzi za mameya Nchini

  CCM na serikali yao ni mashetani wakubwa. Watu ambao hatukumpa kura zetu JPM tulianza kumkubali kwa kuamini kuwa yale ambayo tuliyapigia kelele miaka yote ameanza kuyashughulikia, lakini kwa huu upumbavu unaofanywa na CCM kuhujumu chaguzi za mameya na manaibu wao ni dhahiri kuwa CCM ni ile ile, mbinu zile zile. Imetoka serikali dhaifu imeingia serikali ya kiimla.

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: Breaking News: Chadema kuanika mipango haramu ya kuhuju chaguzi za mameya Nchini

  KISIKI,CCM ni ile ile,leo,jana na hata milele.Unaiamini kwa lipi?.
  KISIKI likes this.

 5. #5
  Senior Member mahakama ya kadhi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  993
  Rep Power
  6
  Likes Received
  31
  Likes Given
  31

  Re: Breaking News: Chadema kuanika mipango haramu ya kuhuju chaguzi za mameya Nchini

  Chadema hawanaakili wao ndiyo wanaongoza kwa mipango michafu halafu wanapakazia wengine wehu kweli hawa.

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by KISIKI View Post
  CCM na serikali yao ni mashetani wakubwa. Watu ambao hatukumpa kura zetu JPM tulianza kumkubali kwa kuamini kuwa yale ambayo tuliyapigia kelele miaka yote ameanza kuyashughulikia, lakini kwa huu upumbavu unaofanywa na CCM kuhujumu chaguzi za mameya na manaibu wao ni dhahiri kuwa CCM ni ile ile, mbinu zile zile. Imetoka serikali dhaifu imeingia serikali ya kiimla.
  Unalo mwaka huu mmeshikwa pabaya ccm ni ileile tena wamejipanga wenyewe mtaisoma.

 6. #6
  Senior Member kichondi77's Avatar
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  183
  Rep Power
  6
  Likes Received
  11
  Likes Given
  5
  Wewe mahakama ya Kadhi ndoto zako za mchana zinaonyesha jinsi gani unavyowanga usiku, chadema au ccm nani anacheza michezo ya kuigiza mlileta wabunge wa Zanzibar kufanyanini Dar?
  You can fool some people some time but you can't fool all the people all the time

 7. #7
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Breaking News: Chadema kuanika mipango haramu ya kuhuju chaguzi za mameya Nchini

  Quote Originally Posted by mahakama ya kadhi View Post
  Chadema hawanaakili wao ndiyo wanaongoza kwa mipango michafu halafu wanapakazia wengine wehu kweli hawa.

  - - - Updated - - -  Unalo mwaka huu mmeshikwa pabaya ccm ni ileile tena wamejipanga wenyewe mtaisoma.
  Wewe ni msukule tu huna lolote ulijualo zaidi ya upuuzi uliokaririshwa kwa buku saba.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •