Close

Results 1 to 6 of 6
Like Tree1Likes
 • 1 Post By mahakama ya kadhi

Thread: mbowe naye ni fisadi kama Lowasa tu.

 1. #1
  Senior Member mahakama ya kadhi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  993
  Rep Power
  6
  Likes Received
  31
  Likes Given
  31

  mbowe naye ni fisadi kama Lowasa tu.

  Sote tunafahamu kuwa waziri mkuu wa zamani bw sumaye alitoa pesa za kutosha kwa mwenyekiti wa chadema Taifa ili sumaye awe mgombea urais wa chadema katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

  Pamoja na sumaye kutoa pesa nyingi ili agombee urais kwa tiketi ya chadema bado mbowe hakumpa nafasi ya kuwa mgombea na ikumbukwe kwamba pesa zote hizo zilichangwa na wafanyabisahara marafiki wa sumaye ambao walipanga kunufaika kama sumaye angekuwa Rais wa Tanzania.

  Katika hali ambayo siyo ya kawaida mbowe alimpa nafasi hiyo Lowasa baada ya kutoa kiasi cha pesa takaribani bilioni tano ambapo sumaye alikuwa ametoa bilioni tatu hivyo kuzidiwa dau.

  Pamoja na kutokupewa nafasi hiyo ya kugombea urais lakini sumaye hakurudishiwa pesa zake badala yake aliambiwa asubiri kwani Lowasa asingeweza kumaliza kampeni kutokana na hali yake ya kiafya kuwa mbaya.

  Baada ya uchaguzi kuwa umekwisha wafanyabishara waliomchangia sumaye wametaka kurudishiwa pesa zao baada ya makubaliano kukiukwa na bw mbowe hali ambayo inaonekana inaweza kuleta mpasuko wa ajabu kwani pesa zote hizo hazikupokelewa na chama badala yake zilipokelewa na mbowe wakati chama hakijui lolote juu ya pesa hizo.
  Nambalapala likes this.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  8
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: mbowe naye ni fisadi kama Lowasa tu.

  Fisadi hachangamani ila na fisadi mwenzake

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  473
  Rep Power
  5
  Likes Received
  10
  Likes Given
  6

  Re: mbowe naye ni fisadi kama Lowasa tu.

  JK NAE NI FISADI KAMA NANI VILEEE

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: mbowe naye ni fisadi kama Lowasa tu.

  Definition ya fisadi please...... Maana mnayo yaandika hayaendani na maana halisi ya fisadi

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Nov 2015
  Posts
  153
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  13

  Re: mbowe naye ni fisadi kama Lowasa tu.

  Kuna tofauti kubwa kati ya FISADI, MWIZI, JAMBAZI, HARAMIA, TAPELI, MWANA HARAMU, JANGILI. Tuwe makini tunapoyatumia maneno hayo.

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  8
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: mbowe naye ni fisadi kama Lowasa tu.

  MBOWE NI ZAIDI YA FISADI. ANATUMIA KINGA YA KISIASA KUPIGA MADILI AKIJUA HAKUNA WA KUMUULIZA. NI HATARI SANA

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by Najitetea View Post
  Kuna tofauti kubwa kati ya FISADI, MWIZI, JAMBAZI, HARAMIA, TAPELI, MWANA HARAMU, JANGILI. Tuwe makini tunapoyatumia maneno hayo.
  MBOWE NI ZAIDI YA HAO ULIOWATAJA. ANATUMIA VIBAYA UENYEKITI WAKE WA CHAMA CHA SIASA

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •