Close

Results 1 to 19 of 19
Like Tree1Likes
 • 1 Post By Nambalapala

Thread: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  8
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  Wadau, amani iwe kwenu.

  Hizi ni taarifa za uhakika nilizopata kutoka kwa chanzo muhimu kilicho jirani na Mwanasiasa Mkongwe, Juma Duni Haji ambaye aliamua kujivua uanachama wake wa CUF na kujiunga na CHADEMA kutokana na tamaa ya kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Babu Duni baada ya kujiunga na CHADEMA aliteuliwa kuwa Mgombea Mwenza akisaidiana na Edward Lowasa katika kampeni za kuelekea Magogoni.

  Baada ya uchaguzi Mkuu ambapo CCM kupitia Mgombea Urais wake John Pombe Magufuli ilishinda uchaguzi huo huku ikinyakua viti vya kutosha kwa upande wa Wabunge na Udiwani. Matokeo hayo yalimuondoa Babu Duni kwenye siasa za Tanzania. Tangu wakati huo, hajasikika akikubali ushindi ama kukataa. Kitendo hicho cha kukaa kimya kimetafsiriwa kwa hisia tofauti. Wapo wanaodai kuwa Juma Duni amerejea CUF huku wengine wakimnukuu akisema kuwa atatoa hatma yake kisiasa ifikapo Januari Mwakani.

  Kamera yangu ilizama Zanzibar ili kufuatilia nyenendo za mwanasiasa huyo na kutaka kujua juu ya ukimya wake. Kwa hakika niliyoyakuta ni hatareeeeee! Kwa kifupi Juma Duni Haji hayupo CHADEMA. Kamera yangu imenyaka sababu za mwanasiasa huyo kujiengua CHADEMA.

  1. Kutolipwa madai yake ya shilingi milioni 200. Kama mnavyofahamu kuwa Juma Duni Haji aliahidiwa kitita cha shilingi milioni 550 ikiwa ataondoka CUF na kujiunga na CHADEMA. Baada tu ya kujiunga, Babu Duni alipata milioni 50 na aliahidiwa kiasi kingine angepewa kabla ya kampeni kumalizika. Mwezi mmoja baada ya kampeni, Babu Duni akaanzisha mgomo kwa lengo la kushinikiza alipwe kiasi anachodai ambacho ni milioni 500. Akaacha kushiriki mikutano ya kampeni. CHADEMA kupitia mgombea wao wa Urais wakaona jahazi linazama. Wakazama mfukoni na kumpa milioni 300 fedha ambazo zilitolewa na mmoja wa wafanyabiashara waliokuwa wanaunga mkono UKAWA. Kiasi cha shilingi milioni 200 zilizobaki walimuahidi kumlipa wiki moja kabla ya uchaguzi. Hata hivyo, mpaka sasa, Babu Duni hajalipwa fedha hizo na ndo maana ameamua kujiondoa CHADEMA.

  2. Kukatika kwa mawasiliano na viongozi waandamizi wa CHADEMA na UKAWA. Babu Duni amesikika akilalamika kuwa hajapigiwa simu ama kuwa na mawaziliano ya ana kwa ana na viongozi waandamizi wa chama chake cha CHADEMA na UKAWA licha ya jitihada ambazo amekuwa akizifanya. Kwamba, kila anapowasiliana na viongozi wenzake, wanamjibu kuwa watampigia lakini wamekuwa hawafanyi hivyo. Anamshangaa hata Lowasa kwa kitendo chake cha kukaa kimya ilhali waliongea mengi na walipanga mikakati mingi ya maisha baada ya uchaguzi lakini hakuna kinachoendelea.

  3. Vijembe na kejeli kutoka kwa makada wa CUF. Babu duni amesikika akilalama kuwa anapewa vijembe na viongozi na wafuasi wa CUF kwa kitendo chake cha kukisaliti chama hicho na kujiunga na CHADEMA. Anasema kuwa CUF inamuona kama ni msaliti na kwamba uamuzi wa yeye kwenda CHADEMA ulifanywa na Maalim Seif Sharif Hamad pekee.

  Kutokana na sababu hizi na nyingine nyingi, Babu Duni anasema kuwa haoni umuhimu wa kuendelea kubaki CHADEMA. Anasema kwa sasa anaendelea kutafakari na soon atatoa hatma yake kisiasa. Anasema kuwa kuna mambo mawili anayatafakari. Ama kurejea CUF na kuendelea maisha ya kisiasa ama kustaafu siasa. Tusubiri tuone.

  Nawasilisha
  activister likes this.

 2. #2
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  Lizaboni unahangaika kweli hayo mayai huko tumboni hayajaisha tu?

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Sep 2015
  Posts
  444
  Rep Power
  5
  Likes Received
  6
  Likes Given
  3

  Re: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  siasa ni mchezo mchafuuu

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  Ni mamuuzi yake hatuna budi kuyaeshimu......... Tusilichukulie jambo hili kimtizamo wa kisiasa

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  8
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  Quote Originally Posted by KISIKI View Post
  Lizaboni unahangaika kweli hayo mayai huko tumboni hayajaisha tu?
  Pole sana KISIKI. Je usiku wa leo umemvalisha mzee wa kujinyea pampas mara ngapi? Una moyo sana kijana

 6. #6
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  Nambalapala aka Lizaboni wa JF, wewe hadhi yako ni kwenye vigodoro tu hata hapa unaingia kwa makosa tu, hivi huoni hoja zako zimekaa ki matako matako? Wacha kuliwa tigo huenda akili zikakurudia.

 7. #7
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  8
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  KISIKI siku zote unakosa sera. Ndo maana unaishia kutukana tu

 8. #8
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  46
  Rep Power
  0
  Likes Received
  2
  Likes Given
  1

  Re: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  huu ulikuwa usajii wa mkopo sasa timu ipo hali mbaya wacha arudi akasiadie kuisadia isije kushuka daraja

 9. #9
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  8
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  Kitende hapo umenena

 10. #10
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  KISIKI siku zote unakosa sera. Ndo maana unaishia kutukana tu
  Una maana wewe ndiyo una haki ya kutukana tu bila kujibiwa? Hebu rejea post zako zote halafu ujitathmini.Hebu rejea post # 5 kwenye uzi huu. Ukileta hoja za kimalaya utajibiwa hivyo hivyo. Wewe na genge lako mna mission maalum ya kulichafua jukwaa hili ili lionekane la kihuni. Mnatumia vibaya uvumilivu wa mods kwa kuwachafua watu humu na sisi wengine tunaposhindwa kuvumilia umalaya wenu inabidi tuenende kama mnavyotaka. ILA NI KWELI NA KWELI TUPU KUWA MKO HAPA KWA KAZI HIYO MAALUM YA KUICHAFUA MF.

 11. #11
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  8
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  Kani wewe KISIKI ndo mmiliki wa MF? Hiyo hoja ya kulichafua jukwaa inakujaje? Unafikiri bila kuweka mada jukwaa la siasa litakuwa salama? Hapa ninachokiona ni kwamba hauna hoja za kujibu hoja zangu. Ndo maana unaishia kuporomosha matusi tu

 12. #12
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  Nambalapala wewe ndiyo una hatimiliki ya kutukana? Wacha umbwiga Ukilleta matusi lazima ujibiwe hivyo hivyo. Au kwa vile unashabikia CCM basi uogopwe utukane tu halafu tukuchekee kama vile tunatoka msoga wote.

 13. #13
  Member activister's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Kapugi Village
  Posts
  53
  Rep Power
  6
  Likes Received
  0
  Likes Given
  3

  Re: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Wadau, amani iwe kwenu.

  Hizi ni taarifa za uhakika nilizopata kutoka kwa chanzo muhimu kilicho jirani na Mwanasiasa Mkongwe, Juma Duni Haji ambaye aliamua kujivua uanachama wake wa CUF na kujiunga na CHADEMA kutokana na tamaa ya kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Babu Duni baada ya kujiunga na CHADEMA aliteuliwa kuwa Mgombea Mwenza akisaidiana na Edward Lowasa katika kampeni za kuelekea Magogoni.

  Baada ya uchaguzi Mkuu ambapo CCM kupitia Mgombea Urais wake John Pombe Magufuli ilishinda uchaguzi huo huku ikinyakua viti vya kutosha kwa upande wa Wabunge na Udiwani. Matokeo hayo yalimuondoa Babu Duni kwenye siasa za Tanzania. Tangu wakati huo, hajasikika akikubali ushindi ama kukataa. Kitendo hicho cha kukaa kimya kimetafsiriwa kwa hisia tofauti. Wapo wanaodai kuwa Juma Duni amerejea CUF huku wengine wakimnukuu akisema kuwa atatoa hatma yake kisiasa ifikapo Januari Mwakani.

  Kamera yangu ilizama Zanzibar ili kufuatilia nyenendo za mwanasiasa huyo na kutaka kujua juu ya ukimya wake. Kwa hakika niliyoyakuta ni hatareeeeee! Kwa kifupi Juma Duni Haji hayupo CHADEMA. Kamera yangu imenyaka sababu za mwanasiasa huyo kujiengua CHADEMA.

  1. Kutolipwa madai yake ya shilingi milioni 200. Kama mnavyofahamu kuwa Juma Duni Haji aliahidiwa kitita cha shilingi milioni 550 ikiwa ataondoka CUF na kujiunga na CHADEMA. Baada tu ya kujiunga, Babu Duni alipata milioni 50 na aliahidiwa kiasi kingine angepewa kabla ya kampeni kumalizika. Mwezi mmoja baada ya kampeni, Babu Duni akaanzisha mgomo kwa lengo la kushinikiza alipwe kiasi anachodai ambacho ni milioni 500. Akaacha kushiriki mikutano ya kampeni. CHADEMA kupitia mgombea wao wa Urais wakaona jahazi linazama. Wakazama mfukoni na kumpa milioni 300 fedha ambazo zilitolewa na mmoja wa wafanyabiashara waliokuwa wanaunga mkono UKAWA. Kiasi cha shilingi milioni 200 zilizobaki walimuahidi kumlipa wiki moja kabla ya uchaguzi. Hata hivyo, mpaka sasa, Babu Duni hajalipwa fedha hizo na ndo maana ameamua kujiondoa CHADEMA.

  2. Kukatika kwa mawasiliano na viongozi waandamizi wa CHADEMA na UKAWA. Babu Duni amesikika akilalamika kuwa hajapigiwa simu ama kuwa na mawaziliano ya ana kwa ana na viongozi waandamizi wa chama chake cha CHADEMA na UKAWA licha ya jitihada ambazo amekuwa akizifanya. Kwamba, kila anapowasiliana na viongozi wenzake, wanamjibu kuwa watampigia lakini wamekuwa hawafanyi hivyo. Anamshangaa hata Lowasa kwa kitendo chake cha kukaa kimya ilhali waliongea mengi na walipanga mikakati mingi ya maisha baada ya uchaguzi lakini hakuna kinachoendelea.

  3. Vijembe na kejeli kutoka kwa makada wa CUF. Babu duni amesikika akilalama kuwa anapewa vijembe na viongozi na wafuasi wa CUF kwa kitendo chake cha kukisaliti chama hicho na kujiunga na CHADEMA. Anasema kuwa CUF inamuona kama ni msaliti na kwamba uamuzi wa yeye kwenda CHADEMA ulifanywa na Maalim Seif Sharif Hamad pekee.

  Kutokana na sababu hizi na nyingine nyingi, Babu Duni anasema kuwa haoni umuhimu wa kuendelea kubaki CHADEMA. Anasema kwa sasa anaendelea kutafakari na soon atatoa hatma yake kisiasa. Anasema kuwa kuna mambo mawili anayatafakari. Ama kurejea CUF na kuendelea maisha ya kisiasa ama kustaafu siasa. Tusubiri tuone.

  Nawasilisha
  uliahama SENGErema?
  "A man who will not conform to the rules of his own profession is not to be trusted and, of course, should not be employed or retained"- Clemenceaus D'Abexeaus Jr.

 14. #14
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Kani wewe KISIKI ndo mmiliki wa MF? Hiyo hoja ya kulichafua jukwaa inakujaje? Unafikiri bila kuweka mada jukwaa la siasa litakuwa salama? Hapa ninachokiona ni kwamba hauna hoja za kujibu hoja zangu. Ndo maana unaishia kuporomosha matusi tu

  Una hoja gani wewe,kazi yako ni kuzoa habari huko umbeyani na kuzileta hapa MF.Kutwa nzima kumwazia Lowassa tu.Lazima utakuwa ulikalia kuti kavu kwa maana kila kukicha wewe na Lowassa tu.

  Sikatai wewe kumwaza Lowassa kwa hoja,nachukia matusi yako kwake.Mlimtukana wakati wote wa kampeni,hajawajibu.Nini zaidi mnachotaka toka kwake sasa.Jirekebishe.Tupo hapa kutoa mawazo yanayojenga taifa na jamii kwa ujumla.Siyo huo upuuzi wako.

  Mburula we.

 15. #15
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  8
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  Mkuu Nyaluhala, salama? Ulipotea sana ndugu. By the way, punguza hasira japo kidogo

 16. #16
  Senior Member
  Join Date
  Nov 2015
  Posts
  153
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  13

  Re: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  Mimi ninafikiri, tetesi zisianzishe mijadala ambayo haipo. Leta vidhibiti tuchambue. Mbona habari nyingine kila kitu kinaletwa na uchambuzi unatoka. Kama Babu Duni analalamika tusubiri ukweli kisha tutaazia hapo.
  Nawasilisha.

 17. #17
  Senior Member kichondi77's Avatar
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  183
  Rep Power
  6
  Likes Received
  11
  Likes Given
  5
  Vijana wa lumumba katika ubora wao wa Majungu na uzandiki
  You can fool some people some time but you can't fool all the people all the time

 18. #18
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Mkuu Nyaluhala, salama? Ulipotea sana ndugu. By the way, punguza hasira japo kidogo

  Nipo,wala hakuna hasira hapo.Wewe hujatulia……………,

 19. #19
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  8
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA. Ni baada ya kutolipwa milioni 200

  Quote Originally Posted by kichondi77 View Post
  Vijana wa lumumba katika ubora wao wa Majungu na uzandiki
  Siku zote vijana wa Lumumba tunakuwa na ubora wa ubora. Si ubora wa majungu kama wafanyavyo nyumbu

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •