Close

Results 1 to 14 of 14
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  8
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  VIGOGO WAUZA UNGA WAKAMATWA

  Mali zao zawekwa chini ya Ulinzi. Waliotoroka kutafutwa kwa kushirikiana na jeshi la INTERPOL. wengine wanaswa wakitoroka
  Click image for larger version. 

Name:	20151229_095229.jpg 
Views:	114 
Size:	47.9 KB 
ID:	1264Click image for larger version. 

Name:	20151229_095310.jpg 
Views:	122 
Size:	45.9 KB 
ID:	1265

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Nov 2015
  Posts
  153
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  13

  Re: VIGOGO WAUZA UNGA WAKAMATWA

  Sijalisoma bado hilo gazeti. Isije ikawa ni vidagaa ndiyo vinajaza majina kwenye hilo gazeti!

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  473
  Rep Power
  5
  Likes Received
  10
  Likes Given
  6

  Re: VIGOGO WAUZA UNGA WAKAMATWA

  kwani majina JK sialisema anayo basi ampe magufuli ili ayashungulikie

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: VIGOGO WAUZA UNGA WAKAMATWA

  Tunataka majina ya walio kamatwa sio mbembwe vipi ridhiwan nae jina lake lipo

 5. #5
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: VIGOGO WAUZA UNGA WAKAMATWA

  Kama prince hayumo basi hiyo list ni igizo tu

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  8
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: VIGOGO WAUZA UNGA WAKAMATWA

  KISIKI macho yatakutoka sana kwa mambo ambayo haunayo ushahidi. badilika, muulize bosi wako KUBENEA anavyojuta.

 7. #7
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: VIGOGO WAUZA UNGA WAKAMATWA

  TataMadiba kijiwe kinavunjwa hicho utarudia kazi yako ya kucheza kigodoro.

 8. #8
  Senior Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  473
  Rep Power
  5
  Likes Received
  10
  Likes Given
  6

  Re: VIGOGO WAUZA UNGA WAKAMATWA

  Quote Originally Posted by TataMadiba View Post
  KISIKI macho yatakutoka sana kwa mambo ambayo haunayo ushahidi. badilika, muulize bosi wako KUBENEA anavyojuta.
  kubenea awezi kujuta kwa upuuzi wa serikali ya ccm ambayo ilikumbatia wauza unga miaka yote mnadai majina mnayo then vijana wanazidi kuteketea tu nchini

 9. #9
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: VIGOGO WAUZA UNGA WAKAMATWA

  Quote Originally Posted by Francis Pungumwai View Post
  Tunataka majina ya walio kamatwa sio mbembwe vipi ridhiwan nae jina lake lipo
  hahahahahaaaaaa,wewe mtukutu,ridhiwani yupi unaemzunguzia maana wapo akina ridhiwani wengi.........

 10. #10
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  802
  Rep Power
  6
  Likes Received
  62
  Likes Given
  126

  Re: VIGOGO WAUZA UNGA WAKAMATWA

  Mchezo wa kuigiza ukweli utaifanya mimi naomba iwe kweli

 11. #11
  Member
  Join Date
  May 2014
  Posts
  50
  Rep Power
  6
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  Re: VIGOGO WAUZA UNGA WAKAMATWA

  kama waliokamatwa ni wenyewe kweli basi serikali iwanyonge, maana hakuna hukumu nyingine inayowafaa zaidi ya kuwanyonga.

 12. #12
  Senior Member
  Join Date
  Nov 2015
  Posts
  153
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  13

  Re: VIGOGO WAUZA UNGA WAKAMATWA

  Nafikiri imefika wakati JK amsaidie JPM kumpatia yale majina ya Wanamtandao wa Madawa ya kulevya anaowajua. Kama vile Ndugu Mengi alivyotaja orodha ya mafisadi papa.

 13. #13
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  8
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: VIGOGO WAUZA UNGA WAKAMATWA

  Quote Originally Posted by KISIKI View Post
  TataMadiba kijiwe kinavunjwa hicho utarudia kazi yako ya kucheza kigodoro.
  KISIKI mimi siishi mjini kwa kufanyakazi vijiweni. Mitandaoni naonekana sababu ni hobi yangu. Utasubiri sana kuona napotea MF

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by KISIKI View Post
  TataMadiba kijiwe kinavunjwa hicho utarudia kazi yako ya kucheza kigodoro.
  Quote Originally Posted by Najitetea View Post
  Nafikiri imefika wakati JK amsaidie JPM kumpatia yale majina ya Wanamtandao wa Madawa ya kulevya anaowajua. Kama vile Ndugu Mengi alivyotaja orodha ya mafisadi papa.
  Leo nimesoma gazeti moja linasema kumsakama JK hakutamsaidia JpM. Naungana na gazeti hilo. JMP ni jembe anaweza kusimama yeye kama yeye. Wenye bifu na JK bora wakaendelea nazo kivyao na kumuacha rais afanye kazi

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by KISIKI View Post
  TataMadiba kijiwe kinavunjwa hicho utarudia kazi yako ya kucheza kigodoro.
  Quote Originally Posted by Aggrey Lugano View Post
  kwani majina JK sialisema anayo basi ampe magufuli ili ayashungulikie
  Kwni majipu anayoyatumbua alipewa na JK?

 14. #14
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: VIGOGO WAUZA UNGA WAKAMATWA

  TataMadiba kwani ile buku 7 yenu hapo lumumba siyo kijiwe?Kula yako inatokana na hivi vipost vyenu mnavyokoteza JF na vigazeti vyenu vya kimalaya kuja kutupia huku.Magufuli hapendi mambo ya majungu na siasa za maji taka, akishashika mikoba ya chama mtauona mji mchungu.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •