Close

Results 1 to 5 of 5
 1. #1
  Super Moderator Masalu's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  1,095
  Rep Power
  10
  Likes Received
  76
  Likes Given
  41

  TAARIFA YA MKUTANO WA RAIS MAGUFULI NA MAALIM SEIF

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: TAARIFA YA MKUTANO WA RAIS MAGUFULI NA MAALIM SEIF

  Watabana, wataachia.Maalim Seif ndiyo Prezidaa wa nchi ya Zanzibar……..

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Nov 2015
  Posts
  153
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  13

  Re: TAARIFA YA MKUTANO WA RAIS MAGUFULI NA MAALIM SEIF

  Hayo maombi ya kukutana na JPM ya siku nyingi ni muda gani? Aliomba kukutana naye hata kabla hajachaguliwa kuwa rais? au ni nini? Isije ikawa Serikali inajikosha kukutana naye baada ya Marekani kuzuia zile Trilioni 1 za MCC!

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  Re: TAARIFA YA MKUTANO WA RAIS MAGUFULI NA MAALIM SEIF

  hayo majadiliano yana subiri uchaguzi unatarajiwa kurudiwa au ndio ile staili ya kuweka Tv hospitali ili mgonjwa wakati wakimsubiri daktari waendelee kujiliwaza
  punda hajasoma lakini kazi hakosi

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  802
  Rep Power
  6
  Likes Received
  62
  Likes Given
  126

  Re: TAARIFA YA MKUTANO WA RAIS MAGUFULI NA MAALIM SEIF

  Quote Originally Posted by Najitetea View Post
  Hayo maombi ya kukutana na JPM ya siku nyingi ni muda gani? Aliomba kukutana naye hata kabla hajachaguliwa kuwa rais? au ni nini? Isije ikawa Serikali inajikosha kukutana naye baada ya Marekani kuzuia zile Trilioni 1 za MCC!
  Maswali ya msingi hayo. Propaganda machine iko kazini. Wanajibaraguza jinsi ya kumtangaza Maalim Sefu wapate pesa za MCC

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •