Close

Results 1 to 3 of 3
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jul 2015
  Posts
  436
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  UFISADI SIO WA UWIZI WA PESA TUU

  Ufisadi sio ule wa uwizi wa pesa za umma pekee yake ufisadi ni pamoja na ule wa maafisa wa serikali na maafisa wa Taasisi za umma kujaza ndugu zao serikalini na kwenye taasisi za umma wakati hawana sifa na uwezo pia ufisadi ni pamoja na maafisa wa serikali na maafisa wa taasisi za umma kujaza watu wa dini zao na watu wa makabila yao serikali na kwenye taasisi za umma na serikali wakati hawana sifa wala uwezo na hao waliojazwa humo wanatumika kuliibia Taifa .

  Magufuli raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania tunaomba uchunguzi ufanyike juu ya hili suala ili kila mtanzania apate haki yake sawa sio wengine wanakandamizwa tuu wengine kazi yao kubebana
  NAIPENDA TANZANIA YANGU

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  473
  Rep Power
  6
  Likes Received
  10
  Likes Given
  6

  Re: UFISADI SIO WA UWIZI WA PESA TUU

  hili tatizo limekuwa sugu nchini

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  441
  Rep Power
  6
  Likes Received
  4
  Likes Given
  0

  Re: UFISADI SIO WA UWIZI WA PESA TUU

  Usinikumbiushe yale ya yaliyotekea Ofisi za Uhamiaji mpaka wakaamua .................loading............baada ya kuona kila jina lina endana na lililopita
  shida za watanzania nina zijua

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •