Close

Results 1 to 7 of 7
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jul 2015
  Posts
  436
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  POSHO ZA WABUNGE ZIMEFUTWA

  Msajili wa wa Hazina Lawrence Mafuru ametangaza kufutwa kwa posho zote za vikao vya kamati za wabunge na vikao vya bodi za taasisi za umma na kusema kuwa hazitatolewa tena kwani hicho wanachokifanya ni sehemu ya kazi zao na kuwapa posho ni kuwalipa mara mbili
  NAIPENDA TANZANIA YANGU

 2. #2
  Senior Member MV Salama's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  New York
  Posts
  1,880
  Rep Power
  8
  Likes Received
  104
  Likes Given
  80

  Re: POSHO ZA WABUNGE ZIMEFUTWA

  Hatua nyengine njema inayostahili pongezi, na kwa mwendo huu ata kelele kelele zisizo na tija bungeni zitapungua.Wakati mwengine kwa baadhi ya wengine zile kelele ni zakulewa pesa.

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Jul 2015
  Posts
  436
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  Re: POSHO ZA WABUNGE ZIMEFUTWA

  huu ndo mda wao wa wabunge kuwa na adabu bungeni ,pia ningependa kuwepo na adhabu ya kukatwa mishahara kwa wale wabunge wanao leta vurugu kwenye mikutano ya bunge
  NAIPENDA TANZANIA YANGU

 4. #4
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  46
  Rep Power
  0
  Likes Received
  2
  Likes Given
  1

  Re: POSHO ZA WABUNGE ZIMEFUTWA

  sasa naona muda si mrefu kuna wabunge watatangaza kujiuzulu na kustaafu

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  238
  Rep Power
  5
  Likes Received
  2
  Likes Given
  0

  Re: POSHO ZA WABUNGE ZIMEFUTWA

  watakao jiuzuru hao ndo ambao waliinia bungeni kwa maslahi yao binafsi sio kwaajili ya watanzania

 6. #6
  Member
  Join Date
  Jul 2014
  Posts
  30
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  3

  Re: POSHO ZA WABUNGE ZIMEFUTWA

  Kibaya zaid kuna Wabunge wamekopa mikopo kwa ajil ya kampen huk wakitegemea posho zitakuwa zinawakim...sas kibao cha maisha bora kwa kila MTZ kinawageukia wao..

 7. #7
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  Re: POSHO ZA WABUNGE ZIMEFUTWA

  wale wanao ingia katika siasa kwa pupa lazima wakimbie maana siasa nayo imesha ingiliwa bora kuuza vitumbua

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •