li kupunguza matumizi yasiyo ya lazima katika familia yangu naenda kutoa maamuzi yafuatayo:-moja,nitafuta sherehe zote ambazo zilitakiwa kufanyika na kusherehekewa nyumbani kwangu kuanzia za kiserikali na za kidini na fedha nilizokuwa zimepangwa zitaelekezwa kwenye matumizi yenye uhitaji mkubwa kama elimu.mbili,nguo zitanunulia mara moja tu kwa mwaka na zile ambazo zilikuwa zikanunuliwe fedha zake zitapelekwa kwenye kwenye kununua dawa za kujikinga malaria.tatu,ninaenda kufuta matumi ya umeme wa TANESCO na fedha ambazo tungekuwa tunalipia TANESCO tutazikusanya kidogo kidogo na kwenda kununua solar power.nne, ninaenda kuondoa bomba la maji la DAWASCO na tutajibana ili tuweze kuchimba kisima chetu.nne,nimefuta safari zisizokuwa za lazima,na fedha zilizokuwa zitumike kwenye safari zitapangiwa matumizi mengine ambayo ni pamoja na kulipia madeni ya familia tunayodaiwa.
Connect With Us