Close

Results 1 to 4 of 4
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jul 2015
  Posts
  436
  Rep Power
  4
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  ZIJUE FAIDA ZA KULA TANGO  1. Kuzuia kisukari, kuboresha mfumo wa damu na kuondoa kolesteroli mwilini.

  2. Chanzo kikubwa cha Vitamin B.

  3. Kusaidia kutunza ngozi.

  4. Kuongeza maji mwilini.

  5. Kukata hangover.

  6. Kuimarisha mmeng'enyo wa chakula mwilini.

  7. Kuzuia saratani mwilini.

  8. Kusaidia kupungua uzito.

  9. Kuondoa maumivu na kuboresha viungo vya mwili.

  10. Kuondoa harufu mbaya ya kinywa.
  NAIPENDA TANZANIA YANGU

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  802
  Rep Power
  5
  Likes Received
  62
  Likes Given
  126

  Re: ZIJUE FAIDA ZA KULA TANGO

  Poa sana shukrani

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Nov 2015
  Posts
  133
  Rep Power
  3
  Likes Received
  4
  Likes Given
  2

  Re: ZIJUE FAIDA ZA KULA TANGO

  umenifumbua macho nili kuwa unga kuhusu tunda hli mpaka hapo nita aanza kulila hata kwa chumvi

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  238
  Rep Power
  4
  Likes Received
  2
  Likes Given
  0

  Re: ZIJUE FAIDA ZA KULA TANGO

  duuu kmbe linafaida nyingi hivyo kwa afya kwa kweli itanibidi nianze kulitumia

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •