Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  190
  Rep Power
  7
  Likes Received
  6
  Likes Given
  12

  Msaada: Sheria inasemaje kuhusu haya

  Msaada Wakuu: Sheria inasemaje kuhusu masuala yafuatayo

  1. Katika hukumu na amri kwa shauri la madai, je rufaa inaweza kukatwa nje ya muda uliotolewa wa rufaa wa hukumu au amri hiyo?

  2. Kwa mujibu wa sheria za nchi yetu nini tafsiri ya Mzee na je sheria za nchi nyingine zinaweza kutumika kutoa tafsiri ya mtu Mzee hapa nchini?

  3. Je ni vitu au vielelezo au maelezo ya aina gani yaambatanishwe na hati ya rufaa ili iwe halali?  Msaada please

 2. #2
  Junior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Location
  United States
  Posts
  1
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Msaada: Sheria inasemaje kuhusu haya

  In which language you guys are talking?

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •