Close

Results 1 to 2 of 2
Like Tree1Likes
 • 1 Post By Nica Obedi

Thread: WAKENYA WAVUTIWA NA MAGUFULI

 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jul 2015
  Posts
  436
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  WAKENYA WAVUTIWA NA MAGUFULI

  Ule usemi wa "HAPA KAZI TUU" ambao amekuwa akiutumia sana rais JPM umesababisha rais huyu kuwa kivutio kwa baadhi ya majirani wetu ambao ni wa Kenya wamesema kuwa hiyo kasi aliyokuja nayo Pombe wanatamani kama na wao wangeipata kwa sababu kwa mwezi mmoja tuu Tanzania imeanza kukaa kwenye mstari .

  KWELI "HAPA KAZI TUU"
  livingstone likes this.

 2. #2
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  27
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: WAKENYA WAVUTIWA NA MAGUFULI

  nawaangaliye sana wakijifanya kuchonga chonga wao na rwanda basi mwaka huu watakiona maana zama za huruma za JK zimekwisha aliwabembeleza na kuwalea sana wakileta za kuleta tutawakomesha
  "NANI KAMA MAMA"

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •