Close

Results 1 to 4 of 4
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  221
  Rep Power
  5
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  CCM Zanzibar yailaani Ukawa

  Katika hatua nyingine, CCM Zanzibar imelaani kitendo cha kuzomewa kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein pamoja na Makamu wake wa Pili, Balozi Seif Ali Idd kilichofanywa na wabunge wa Ukawa wakati akiingia bungeni kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa Bunge la Kumi na Moja.Katibu Kamati Maalumu ya NEC, Waride Bakari Jabu alisema kuwa kitendo hicho ni miongoni mwa vitendo vya ukosefu wa nidhamu kwa wabunge hao.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Jul 2015
  Posts
  436
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  Re: CCM Zanzibar yailaani Ukawa

  hii ni hatari naona sasa matabaka ndiyo yameanza

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: CCM Zanzibar yailaani Ukawa

  Spika wa bunge job ndugai kuburuzwa mahakamani na kubenea

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Sep 2015
  Posts
  444
  Rep Power
  5
  Likes Received
  6
  Likes Given
  3

  Re: CCM Zanzibar yailaani Ukawa

  CCM wanania ya kuvuruga muungano wa tanzania maana kama wangekuwa na hekima wangeshatatuwa mgogoro wa znz

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •