Close

Results 1 to 5 of 5
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  473
  Rep Power
  6
  Likes Received
  10
  Likes Given
  6

  ZITO AMHOJI MAGUFULI KWA UTEUZI WA DR TULIA AKSON

  Kutokana na kile kinachoonekana ni figisufigisu za uspika na unaibu wake, Mbunge mteule wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), alishangazwa na hatua ya viongozi wa Serikali kuandaa Spika au naibu wake kwa kile alichokiita kutoka mfukoni.

  Alisema hata Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, hakuwahi kujaribu kuleta Spika wake au Naibu Spika wake mfukoni.

  “Alipomteua Chifu Adam Sapi Mkwawa kuwa waziri, alifanyiwa ‘rebellion’ na wabunge (wakati wa chama kimoja) akamrudisha mpaka alipostaafu tena kwa kumtungia sheria ya ustaafu (wakati wa Mwinyi).

  “Unapoona rais anajaribu ku-‘impose’ kiongozi wa Bunge anayemtaka, mjue huko mbele Bunge litafanywa kibogoyo. Kwa mfano, hakuna Naibu Spika yeyote katika nchi hii ambaye hakuwahi kuwa mbunge wa jimbo. Nawakumbusha tu kwamba, Bunge huendeshwa kwa kutumia katiba, sheria, kanuni na desturi au maamuzi yaliyokwishafanywa,” alisema Zitto kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Sep 2015
  Posts
  444
  Rep Power
  5
  Likes Received
  6
  Likes Given
  3

  Re: ZITO AMHOJI MAGUFULI KWA UTEUZI WA DR TULIA AKSON

  hapo kuna janja janja zinazofanyika maana jana kateuliwa ghafla eti hapo hapo anajitowa kwenye kugombea uspika anaenda kugombea unaibu kweli toka lini naibu anakuwa sio mbunge wa jimbo

 3. #3
  Senior Member MV Salama's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  New York
  Posts
  1,880
  Rep Power
  8
  Likes Received
  104
  Likes Given
  80

  Re: ZITO AMHOJI MAGUFULI KWA UTEUZI WA DR TULIA AKSON

  Hahahahahahahha...ati jamaa moja anasema "CCM NI ILEILE..." mbele kwa mbele.

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  221
  Rep Power
  6
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  Re: ZITO AMHOJI MAGUFULI KWA UTEUZI WA DR TULIA AKSON

  kabisa ccm ni ile ilee

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Jul 2015
  Posts
  436
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  Re: ZITO AMHOJI MAGUFULI KWA UTEUZI WA DR TULIA AKSON

  ccm ileile tuu haitaokaa badilika coz watu ni wale wale na mambo ni yaleyale

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •