Close

Results 1 to 8 of 8
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  221
  Rep Power
  6
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  BONGE LA BWANA (DR MASABURRI) UBUNGE UMEKUSHINDA UTAUWEZA USPIKA

  Dr masaburri aliyekuwa mgongea ubunge jimbo la ubungo kalizwa tena kwa mara ya pili baada ya kujipa moyo na kwenda kuchukuwa form za kugombea uspika na bila huruma ccm wamemkata tena ikiwa ubunge tu ulimshinda na kumkimbia kubenea siku ya kuhesabu kula baada ya kuona ameshindwa je ? uspika angeuwezea wapi kwa hili nawaunga mkono ccm kwa kumkata maana angetuuzia bunge letu huyu bonge la bwana mzee wa kudai jersey zake ulizotowa wakati wa kampeni

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  Re: BONGE LA BWANA (DR MASABURRI) UBUNGE UMEKUSHINDA UTAUWEZA USPIKA

  bonge la lofa bado anataka uongozi duuu kweli ukikataliwa duniani na mbinguni huendi na Mungu akisema NO! hakuna wakupinga

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  473
  Rep Power
  6
  Likes Received
  10
  Likes Given
  6

  Re: BONGE LA BWANA (DR MASABURRI) UBUNGE UMEKUSHINDA UTAUWEZA USPIKA

  huyu mzee anachezea hela kwanza alipewa umea wa jiji kimchongo tu

 4. #4
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: BONGE LA BWANA (DR MASABURRI) UBUNGE UMEKUSHINDA UTAUWEZA USPIKA

  Yaani kweli makalio yawe spika ?

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: BONGE LA BWANA (DR MASABURRI) UBUNGE UMEKUSHINDA UTAUWEZA USPIKA

  Hahahahahaaa,KISIKI,makalio yakikukamata,kucha na meno huna…………..

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Sep 2015
  Posts
  444
  Rep Power
  5
  Likes Received
  6
  Likes Given
  3

  Re: BONGE LA BWANA (DR MASABURRI) UBUNGE UMEKUSHINDA UTAUWEZA USPIKA

  Quote Originally Posted by KISIKI View Post
  Yaani kweli makalio yawe spika ?
  makalio alitaka kukalia spika

 7. #7
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  221
  Rep Power
  6
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  Re: BONGE LA BWANA (DR MASABURRI) UBUNGE UMEKUSHINDA UTAUWEZA USPIKA

  huyu kila siku ajitambui

 8. #8
  Senior Member
  Join Date
  Jul 2015
  Posts
  436
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  Re: BONGE LA BWANA (DR MASABURRI) UBUNGE UMEKUSHINDA UTAUWEZA USPIKA

  akapumzike tuuu naona uchu wa madaraka unamsumbua akagombee ujumbe wa nyumba kumi

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •