Close

Results 1 to 3 of 3
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  497
  Rep Power
  5
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0

  UNAFIKI UMETAWALA CCM

  Ccm watuhumiana kwa unafiki uliojaa kila kona, chanzo cha unafiki huo ni baada ya kukosa majimbo na kata zilizochukuliwa na wapinzani,baada ya upepo wa uchaguzi kutulia baadhi ya makada wa ccm wamekuwa wakituhumiana kuwa na unafiki baina yao na hujuma zilizofanywa na baadhi ya wanachama wa chama hicho zimesababisha zishindwe kufanya vizuri kwenye maeneo ya udiwani na ubunge.

  Baadhi ya makada hao kwa nyakati tofauti wamekuwa wakieleza kuwa ccm inawanafiki wengi ambao wanaangalia zaidi maslahi yao kuliko chama .

  Hata rais mteule John Pombe Magufuli amekuwa akizungumza suala hilo tangu kipindi cha kampeni akilalamika kuwa wana ccm mchana anakuwa nao usiku wanahamia ukawa ,hili limedhihirisha kabisa kuwa ccm kumejaa unafiki mwingi

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  441
  Rep Power
  6
  Likes Received
  4
  Likes Given
  0

  Re: UNAFIKI UMETAWALA CCM

  Aliye kata tamaaa ndio mshindi duuu
  shida za watanzania nina zijua

 3. #3
  Moderator
  Join Date
  Apr 2015
  Posts
  1,067
  Rep Power
  6
  Likes Received
  21
  Likes Given
  0

  Re: UNAFIKI UMETAWALA CCM

  Nikawaida mahali panapo jaa wapiga dili wengi kwanini wasi gombane
  hakikisha hupitwi na habari

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •