Close

Results 1 to 11 of 11
Like Tree1Likes
 • 1 Post By Nyaluhala

Thread: REGINA LOWASSA KUZAWADIWA UBUNGE ILI BABA AENDELEE KUMWAGA NJUGU

 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  REGINA LOWASSA KUZAWADIWA UBUNGE ILI BABA AENDELEE KUMWAGA NJUGU

  Limeandika gazeti la Jamhuri kiwa vikao vya ndani ya CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(CHA
  DEMA) kwa kauli moja vimeamua kuwa Mke wa aliyekuwa mgombea uraia wa CHADEMA na aliyeungwa mkono na vyama vinavyounda UKAWA, REGINA Lowassa atateuliwa kuwa Mbunge wa viti maalum kupitia CHama hicho katika Bunge lijalo. Hata hivyo taarifa hizo zimemshtua mama Lowassa lakini amekiri kuwa hawezi kwenda kinyume na maamuzi ya vikao(Maana yake atapokea kwa mikono miwili uteuzi huo).

  Wachambuzi wa mambo ya siasa wanatafsiri uteuzi huo kama ni KUMLISHA NG'OMBE ili aweze kutoa maziwa mengi. YAANI KUENDELEA KUTENGENEZA MAZINGIRA YA KUHAKIKISHA CHADEMA WANAENDELEA KUNUFAIKA NA PESA ZA LOWASSA. HATA HIVYO BAADHI YA WATU WANAONA KAMA HUU NI MRADI WA MWENYEKITI WA CHAMA TAIFA , KWANI HATA KWENYE UCHAGUZI ALIYEFAIDI PESA HIZO NI YEYE PEKE YAKE(MWENYEKITI WA CHAMA).

  AIDHA ZIPO TAARIFA KUTOKA NDANI YA CHAMA HICHO KUWA, HATA LOWASSA MWENYEWE ATAANDALIWA NAFASI ITAKAYOMFANYA ALAZIMIKE KUTOA PESA. NAFASI HIYO ANAYOANDALIWA LOWASSA NI IPi? Tusubiri tuone.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: REGINA LOWASSA KUZAWADIWA UBUNGE ILI BABA AENDELEE KUMWAGA NJUGU

  Na nyie mpeni mama salma kikwete

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: REGINA LOWASSA KUZAWADIWA UBUNGE ILI BABA AENDELEE KUMWAGA NJUGU

  Naamini Lowassa na Sumaye wataendelea na mkakati wao wa kujenga chama cha upinzani change nguvu huku wabunge wakipambana kuhakikisha Katiba inayotokana na maoni ya wananchi inapatikana.

  Kwa hiyo,kazi bado mbichi.
  mizambwa likes this.

 4. #4
  Senior Member GURU's Avatar
  Join Date
  Aug 2014
  Location
  Gangstarr
  Posts
  906
  Rep Power
  6
  Likes Received
  26
  Likes Given
  41

  Re: REGINA LOWASSA KUZAWADIWA UBUNGE ILI BABA AENDELEE KUMWAGA NJUGU

  Viti maalum kwa watu maalum hasa kisiasa.
  Blade of the Ronin

 5. #5
  Junior Member
  Join Date
  Apr 2014
  Posts
  20
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  11

  Re: REGINA LOWASSA KUZAWADIWA UBUNGE ILI BABA AENDELEE KUMWAGA NJUGU

  Quote Originally Posted by TataMadiba View Post
  Limeandika gazeti la Jamhuri kiwa vikao vya ndani ya CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(CHA
  DEMA) kwa kauli moja vimeamua kuwa Mke wa aliyekuwa mgombea uraia wa CHADEMA na aliyeungwa mkono na vyama vinavyounda UKAWA, REGINA Lowassa atateuliwa kuwa Mbunge wa viti maalum kupitia CHama hicho katika Bunge lijalo. Hata hivyo taarifa hizo zimemshtua mama Lowassa lakini amekiri kuwa hawezi kwenda kinyume na maamuzi ya vikao(Maana yake atapokea kwa mikono miwili uteuzi huo).

  Wachambuzi wa mambo ya siasa wanatafsiri uteuzi huo kama ni KUMLISHA NG'OMBE ili aweze kutoa maziwa mengi. YAANI KUENDELEA KUTENGENEZA MAZINGIRA YA KUHAKIKISHA CHADEMA WANAENDELEA KUNUFAIKA NA PESA ZA LOWASSA. HATA HIVYO BAADHI YA WATU WANAONA KAMA HUU NI MRADI WA MWENYEKITI WA CHAMA TAIFA , KWANI HATA KWENYE UCHAGUZI ALIYEFAIDI PESA HIZO NI YEYE PEKE YAKE(MWENYEKITI WA CHAMA).

  AIDHA ZIPO TAARIFA KUTOKA NDANI YA CHAMA HICHO KUWA, HATA LOWASSA MWENYEWE ATAANDALIWA NAFASI ITAKAYOMFANYA ALAZIMIKE KUTOA PESA. NAFASI HIYO ANAYOANDALIWA LOWASSA NI IPi? Tusubiri tuone.

  (1) Je kwenye hilo gazeti ndio wameandika kuwa ni mradi wa Mwenyekiti??? na pia wameandika kuwa pesa ya uchaguzi alinufaika mwenyekiti???

  (2) Je hizo taarifa unazoziita za ndani umepewa na nani muweke hadharani tujue, je na lengo ni kunufaika na pesa???

  (3) Kwani kabla ya Lowasa kuhamia CDM chama kilishindwa kujiendesha hata siku moja katika chaguzi, na unaweza kuweka ushahidi wa sehemu gani walishindwa kufanya kampeni kabla ya Lowasa ndani ya CDM kuwa walikosa pesa???

  (4) weka sehemu ya hilo gazeti kwa ushahidi zaidi

  Naomba ufafanuzi kisha nitarudi tena.  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA
  MIMI YANGU MACHO TU!!!!

 6. #6
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: REGINA LOWASSA KUZAWADIWA UBUNGE ILI BABA AENDELEE KUMWAGA NJUGU

  Mizambwa usitegemee jibu toka kwa huo msukule

 7. #7
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  221
  Rep Power
  6
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  Re: REGINA LOWASSA KUZAWADIWA UBUNGE ILI BABA AENDELEE KUMWAGA NJUGU

  Bora huyu mama anafaa sana

 8. #8
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  536
  Rep Power
  7
  Likes Received
  20
  Likes Given
  1

  Re: REGINA LOWASSA KUZAWADIWA UBUNGE ILI BABA AENDELEE KUMWAGA NJUGU

  huyu ,mtoa mada mzimu wa mama yake unamsumbuwa watoto ambao sio riziki utawajuwa kazi ya kulelewa ujomboni unakufanya ufyatuke ujinga tuu hapa Magufuli ni donda ndugu ameingizwa kwa wizi wa kura ataipata

 9. #9
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  62
  Likes Given
  126

  Re: REGINA LOWASSA KUZAWADIWA UBUNGE ILI BABA AENDELEE KUMWAGA NJUGU

  Wewe TataMadiba utazaa chadema mwaka huu.

 10. #10
  Senior Member Mshangai's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  188
  Rep Power
  7
  Likes Received
  18
  Likes Given
  13

  Re: REGINA LOWASSA KUZAWADIWA UBUNGE ILI BABA AENDELEE KUMWAGA NJUGU

  Huyu Tatamadiba no mfano hai wa maccm yalivyo. Uongo,uzushi,wizi na ushetani wote. Anadhani taratibu zao za hovyo ziko kila mahali.

 11. #11
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  27
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: REGINA LOWASSA KUZAWADIWA UBUNGE ILI BABA AENDELEE KUMWAGA NJUGU

  hivi viti maalum vifutwe kabisa dada zetu wanazalilika sana kwa hizi nafasi
  "NANI KAMA MAMA"

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •