Close

Results 1 to 6 of 6
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  238
  Rep Power
  5
  Likes Received
  2
  Likes Given
  0

  MATOKEO YA DARASA LA SABA KANDA YA ZIWA YA ONGOZA

  Baada ya kutangazwa kwa matokeo ya darsa la saba hapo jana shule za kanda ya ziwa zimeendelea kutamba kwenye matokeo ya mtihani wa wa Taifa wa darasa la saba yaliyotangazwa jana na NECTA

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  497
  Rep Power
  5
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0

  Re: MATOKEO YA DARASA LA SABA KANDA YA ZIWA YA ONGOZA

  PONGEZI NYINGI KWA WOTE WALIOFAULU VIZURI KATIKA MITIHANI YAO YA DARASA LA SABA

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  Re: MATOKEO YA DARASA LA SABA KANDA YA ZIWA YA ONGOZA

  Hakuna lolote wacha waka jaze sekondari zisije baki na mapengo

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  441
  Rep Power
  6
  Likes Received
  4
  Likes Given
  0

  Re: MATOKEO YA DARASA LA SABA KANDA YA ZIWA YA ONGOZA

  shule si lele mama wakazane safari bado sana
  shida za watanzania nina zijua

 5. #5
  Moderator
  Join Date
  Apr 2015
  Posts
  1,067
  Rep Power
  6
  Likes Received
  21
  Likes Given
  0

  Re: MATOKEO YA DARASA LA SABA KANDA YA ZIWA YA ONGOZA

  Elimu ndio msingi wa maisha wapate elimu iliwaje kutu buruza
  hakikisha hupitwi na habari

 6. #6
  Senior Member MV Salama's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  New York
  Posts
  1,880
  Rep Power
  8
  Likes Received
  104
  Likes Given
  80

  Re: MATOKEO YA DARASA LA SABA KANDA YA ZIWA YA ONGOZA

  Matokeo ya Darasa la saba hapa.

  http://necta.go.tz/matokeo/xyx_xxx123/psle.htm

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •