Close

Results 1 to 11 of 11
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  139
  Rep Power
  7
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Dar es Salaam School of Juornalism

  Wadau naombeni msaada kwa anayejua chuo cha DSJ kipo chini ya nani

 2. #2
  Senior Member Mchambawima's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  152
  Rep Power
  7
  Likes Received
  2
  Likes Given
  1
  Tulidhani wewe unajua ndiyo unakuja hapa kutueleza. Kumbe na wewe pia unauliza?

 3. #3
  Senior Member Wagagagigikoko's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  127
  Rep Power
  7
  Likes Received
  1
  Likes Given
  1
  Quote Originally Posted by Mchambawima View Post
  Tulidhani wewe unajua ndiyo unakuja hapa kutueleza. Kumbe na wewe pia unauliza?
  Mwenzako ameuliza, lakini wewe baada ya kumjibu umemuuliza tena.Sasa hapo tutafika kweli?

 4. #4
  Senior Member Kipara Bonge's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  478
  Rep Power
  7
  Likes Received
  41
  Likes Given
  0
  Ni chuo cha jamaa mmoja, anaitwa RZ1

 5. #5
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  21
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Mpamato View Post
  Wadau naombeni msaada kwa anayejua chuo cha DSJ kipo chini ya nani

  Kwa sasa DSJ kipi chini ya Mzee Chami ambaye anamiliki pia chuo cha Royal Collage of Tanzania (RCT) kipo Urafiki Ubungo

 6. #6
  Senior Member Winnie Mandela's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  264
  Rep Power
  7
  Likes Received
  20
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Tuimbege View Post

  Kwa sasa DSJ kipi chini ya Mzee Chami ambaye anamiliki pia chuo cha Royal Collage of Tanzania (RCT) kipo Urafiki Ubungo
  Chuo Kikuu kimeshakufa.

 7. #7
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  75
  Rep Power
  7
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Wengine humu wa ajabu kwelikweli kwa kukosa kutumia akili zao sawasawa. Kama huyu Kipara Bonge tuma akili yako vizuri ili ujizuie kusema yaso kipimo. DSJ imezaliwa kabla ya RZ1, sasa itakuaje chuo hicho kiwe chake? Unamsingizia kwa hili, mengine sijui kama unaanza kumuingiza.

 8. #8
  Senior Member Mozila Fire Fox's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Tanzania
  Posts
  731
  Rep Power
  7
  Likes Received
  4
  Likes Given
  32

  Re: Dar es Salaam School of Juornalism

  Quote Originally Posted by Mchambawima View Post
  Tulidhani wewe unajua ndiyo unakuja hapa kutueleza. Kumbe na wewe pia unauliza?
  Nakumbuka mara ya mwisho kusoma pozt za namna hii ilikua JF, mara nyingine jitahidi kuthamini shida zinazo wakabili wana MF.
  Shukran kama umenielewa!

 9. #9
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  123
  Rep Power
  7
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  Re: Dar es Salaam School of Juornalism

  Quote Originally Posted by Kipara Bonge View Post
  Ni chuo cha jamaa mmoja, anaitwa RZ1
  Nadhani Kipara Bonge ameathirika na ushabiki wa kisiasa. Asaidiwe asilaumiwe.

 10. #10
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  157
  Rep Power
  7
  Likes Received
  11
  Likes Given
  0

  Re: Dar es Salaam School of Juornalism

  Quote Originally Posted by Mpamato View Post
  Wadau naombeni msaada kwa anayejua chuo cha DSJ kipo chini ya nani
  Siku hizi hakuna chuo pale, kuna genge tu la wahuni. Chuo kimeharibiwa sana na utawala wa mtu mmoja anayeitwa Abel Pangamawe, coordinator huyu anayefanya kazi kwa chuki, rushwa na majungu.

 11. #11
  Junior Member dalalitz's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  10
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Dar es Salaam School of Juornalism

  Ndugu kama itakuwa nime-elewa vyema mantiki ya swali lako ni kuwa unataka kufahamu mamlaka inayokitambua chuo hicho.
  (Yaani accredition body)-Ama?
  Kama hivyo ndivyo,
  Jibu sahihi zaidi wanalo jamaa wa NACTE.

  Nachelea wengine wanaleta mas'hara penye hoja za msingi unaweza hata kupotoshwa.
  'Busara, ni zaidi ya ilmu'

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •