Close

Results 1 to 8 of 8
 1. #1
  Member uliza_bei's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Dubai na DSM
  Posts
  64
  Rep Power
  7
  Likes Received
  3
  Likes Given
  5

  Tetes: Eti Lowassa kaelekea Marekani (US) ?

  Nauliza tu, nasikia eti huyu mkubwa anaelekea US, Je ni kweli?
  Kma ni kweli, anaenda kuwashitaki kama wamemchakachua wanyimwe misaada?
  Wananchi mjiandae, akikubaliwa basi mmekula za uso.
  Serikali haina pesa na misaada inakatwa.
  Time will tell

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  497
  Rep Power
  5
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0

  Re: Tetes: Eti Lowassa kaelekea Marekani (US) ?

  TUONDOLEE HIZO PROPAGANDA ZAKO

 3. #3
  Moderator
  Join Date
  Apr 2015
  Posts
  1,067
  Rep Power
  6
  Likes Received
  21
  Likes Given
  0

  Re: Tetes: Eti Lowassa kaelekea Marekani (US) ?

  Quote Originally Posted by uliza_bei View Post
  Nauliza tu, nasikia eti huyu mkubwa anaelekea US, Je ni kweli?
  Kma ni kweli, anaenda kuwashitaki kama wamemchakachua wanyimwe misaada?
  Wananchi mjiandae, akikubaliwa basi mmekula za uso.
  Serikali haina pesa na misaada inakatwa.
  Time will tell
  Naona yuko sahihi hatuwezi kuongozwa na mtu ambaye hatuja mchagua awekwe nas marais wastaafu ili awlinde kwa bishara zao za kumkandamiza Mtanzania kila kukicha hiyo haikubaliki unajua Tanzani huwezi tendewa haki kama huku tafuata hiyo haki sasa wapo wanao tafuta kwa njia zisizo sahihi hii nchi ni yetu sote akiongoza wa chama ;pinzani haimaanishi nchi ina hama au kufa anaye ongoza ni mtanzania ana takakuleta maendeleo kwa tanzania wenzake kutuchagulia kiongozi nisawa na kuwa na mfumo wa chama kimoja usio hitaji kupiga kura
  hakikisha hupitwi na habari

 4. #4
  Junior Member
  Join Date
  Apr 2014
  Posts
  20
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  11

  Re: Tetes: Eti Lowassa kaelekea Marekani (US) ?

  Daaaaaaa!!!! Yaani CCM kwa PROPAGANDA kweli mna Degree ya PROPAGANDA.

  Hongereni sana.


  Jina la LOWASA na UKAWA yamewakaa sana vinywani mwenu kabla na baada ya Uchaguzi.

  Elewa UKAWA imejaa watu wenye akili kuliko mnavyofikiria na ndio maana kipindi cha kampeni walifanya kampeni za kistaarabu. Na baada ya Uchakachuaji hakuna aliyefanya fujo kwani wana akili sana. Viongozi na wanachama wa UKAWA ni watu wenye upeo mkubwa sana kiakili, siyo wababaishaji.

  Hivyo PROPAGANDA peleka Lumumba.


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!

 5. #5
  Senior Member Mshangai's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  188
  Rep Power
  7
  Likes Received
  18
  Likes Given
  13

  Re: Tetes: Eti Lowassa kaelekea Marekani (US) ?

  Mmetukana sana,watu walinyamaza tuu, mumeiba kura watu wametulia bila fujo, mumejitangaza washindi watu wametulia tuu hakuna fujo wala nini. Sasa uchaguzi umeisha mumetamba sana na matusi juu watu wanawaangalia tuu.
  Hizi propaganda nazo za nini tena? Sii mlisema hapa kazi tuu? Fanyeni basi tuone Watanzania wakiiona tofauti ya awamu ya nne na hii ya tano, mbona kama hamjiamini na ahadi zenu?
  Ili tuendelee tunahitaji kitu kimoja; Kubadili Watawala

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  497
  Rep Power
  5
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0

  Re: Tetes: Eti Lowassa kaelekea Marekani (US) ?

  Hebu muacheni Lowasa apumue maana kila kukicha mmemkaa kooni anashindwa hata kunywa maji, kwani kawakosea nini, au kosa lake kugombea kiti cha urais? ilikua haki yake kugombea kwasababu anakila sababu na haki ya kugombea yeye ni mtanzania

 7. #7
  Member uliza_bei's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Dubai na DSM
  Posts
  64
  Rep Power
  7
  Likes Received
  3
  Likes Given
  5

  Re: Tetes: Eti Lowassa kaelekea Marekani (US) ?

  TB Joshua eti kaja kuwasuluhisha? Siyo mbaya kama jambo linaisha hata kwa kuweka unga wa muhogo liishe tu.

 8. #8
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  441
  Rep Power
  6
  Likes Received
  4
  Likes Given
  0

  Re: Tetes: Eti Lowassa kaelekea Marekani (US) ?

  eeeee ndio manake wachungaji uchwara tujiamini sisi wenyewe tusali kuimarisha imani ztu mungu yuko mahali popote
  shida za watanzania nina zijua

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •