Close

Results 1 to 6 of 6
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Breaking News: CCM kushinda Majimbo 176 kati ya 264. Yakomboa majimbo 12

  Taarifa inayotolewa hivi punde na Januari Makamba ni kwamba CCM imeshapata matokeo yote ya uchaguzi. Hata hivyo, wanasubiri mamlaka husika kutangaza matokeo hayo. amesema kuwa CCM imefanikiwa kushinda majimbo 176 huku ikikomboa majimbo 12 yaliyokuwa yanashikiliwa na upinzani.

  Amesema pia mwenendo wa matokeo ya Urais hauna tofauti na matarajio ya wana CCM na Watanzania wengi.

  Hongera CCM. Hongera Magufuli

 2. #2
  Member
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  97
  Rep Power
  7
  Likes Received
  5
  Likes Given
  0

  Re: Breaking News: CCM kushinda Majimbo 176 kati ya 264. Yakomboa majimbo 12

  Mmeiba matokeo ndio hayo mnayatangaza. Iweje akina Makamba wao wanaruhusiwa kuwa na kitengo Mlimani ya kupokea matokeo ya chama Chao. Lakini upande wa Chadema wanakamatwa ili wasiwe na matokeo yao

  Kazi ndio inaanza kama mlifikiri kupiga kura ndio amani. Sawa ila hatutakubali na huu wizi ya wazi wazi Tanzania ni Yetu sote

 3. #3
  Moderator
  Join Date
  Apr 2015
  Posts
  1,067
  Rep Power
  6
  Likes Received
  21
  Likes Given
  0

  Re: Breaking News: CCM kushinda Majimbo 176 kati ya 264. Yakomboa majimbo 12

  tume ya ccm na upumbavu wa january ndio utakao iingiza machafukoni hii nchi

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  238
  Rep Power
  5
  Likes Received
  2
  Likes Given
  0

  Re: Breaking News: CCM kushinda Majimbo 176 kati ya 264. Yakomboa majimbo 12

  Hakuna haki hapo ni bao lamkono ndo mnalotumia, Tumeinafanya kazi gani mpaka huyo Jnuari Makamba aanze kuyatangaza, naona mnatafuta machafuko kwenye hii nchi

 5. #5
  Moderator
  Join Date
  Apr 2015
  Posts
  1,067
  Rep Power
  6
  Likes Received
  21
  Likes Given
  0

  Re: Breaking News: CCM kushinda Majimbo 176 kati ya 264. Yakomboa majimbo 12

  Nape alisha sema bao la mkono Kweli lime tekelezeka sizani kama kuna uchawi zaid ya kuzidiwa mbinu
  kutisha wananchi nja vifaru Mtwara mpaka watu wana hama, Mita 200 watu muogope, polisi kila mahari, utashindwaje kushinda kama IT wa chadema wana tiwa mabaloni


  hilo ndio bao la mkono
  hakikisha hupitwi na habari

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  238
  Rep Power
  5
  Likes Received
  2
  Likes Given
  0

  Re: Breaking News: CCM kushinda Majimbo 176 kati ya 264. Yakomboa majimbo 12

  Tutafanyanye itabidi tukubaliane tuu , kwa maaana nchi yetu inatawaliwa na chama kimoja tuu na ukoo wengine hawana rukusa ya kuingia ikulu

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •