Close

Results 1 to 6 of 6
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Dr Magufuli kuibuka Kidedea

  Mpaka sasa dalili zaonyesha Magufuli anashinda uchaguzi huu, majimbo zaidi ya asilimia 87 yatabakia CCM. Hongera CCM. Hongera Magufuli

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  497
  Rep Power
  5
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0

  Re: Dr Magufuli kuibuka Kidedea

  Taarifa nilizopokea ni kuwa Lowasa ndo anayeshinda kwa 95%, na Jimbo la ubungo linachukuliwa na Saed Kubenea, Ukawa mmetisha mko juu sana

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: Dr Magufuli kuibuka Kidedea

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Mpaka sasa dalili zaonyesha Magufuli anashinda uchaguzi huu, majimbo zaidi ya asilimia 87 yatabakia CCM. Hongera CCM. Hongera Magufuli
  Sana tu, Tingatinga

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  724
  Rep Power
  7
  Likes Received
  50
  Likes Given
  0

  Re: Dr Magufuli kuibuka Kidedea

  Dalili zipi zinazoonyesha Magufuri anashinda uchaguzi kwa 88% ? Kwa vigezo vipi @ Nambalapala - kapige kura.

 5. #5
  Member uliza_bei's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Dubai na DSM
  Posts
  64
  Rep Power
  7
  Likes Received
  3
  Likes Given
  5

  Re: Dr Magufuli kuibuka Kidedea

  Siwapongezi ccm lakini nampongeza magufuli. Nitafurahi kusikia wabunge wa ccm wameanguka

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  Re: Dr Magufuli kuibuka Kidedea

  Mgombea wa chedema anaonekana kuongoza kwa asilimia kubwa kuliko wa ccm

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •