Close

Results 1 to 6 of 6
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  WAMESHTUKA, CHADEMA ASILI KUDAI CHAMA CHAO BAADA YA MAGUFULI KUAPISHWA

  Wanasema sasa wanaamini MSHINDI katika uchaguzi wa Urais si mwingine bali ni JOHN POMBE MAGUFULI. Lawama zote sasa wanazielekeza kwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, FREEMAN MBOWE. wanasema MBOWE hakuwa na dhamira ya kweli ya kumkaribisha LOWASSA Ndani ya chama hicho ili kujipatia ushindi bali kutimiza azma yake ya siku nyingi ya KUJIPATIA FEDHA ZA LOWASSA, azma ambayo SAID KUBENEA alisema MBOWE alikuwa nayo tangu mwaka 2013.
  Wanasema ukweli huo unadhihirishwa na mambo yafuatayo:
  1. kuwafitini kwa wanachama wa chama hicho wapamabanaji wa kweli wakiwemo ZITTO KABWE, DR. WILBROD SLAA, KITILA MKUMBO n.k. LENGO lake lilikuwa ni kuwaondoa ili kufanikisha dili lake kwani wangeweza kumzuia.

  2. Kutowahusisha CHADEMA HALISI katika Team ya Kampeni za Urais na kuwaachia CCMB wakiongozwa na FISADI MWENZA wa LOWASSA yaani SUMAYE.

  3. KUHAMISHIA FEDHA ZA CHAMA katika akaunti zake binafsi zilizoko nje ya nchi
  4. Kushindwa kabisa kumshinikiza LOWASSA kutolea ufafanuzi wa tuhuma za UFISADI zinazoelekezwa kwake, tuhuma ambazo wao ndiyo walikuwa MABALOZI wa kupita huku na kule kuwaeleza wananchi kuwa mwanasiasa huyo mwenye UKWAZI wa ajabu ni FISADI
  5. Kuongoza kutokubaliana baina ya viongozi wenza wa UKAWA katika mgawanyo wa nafasi za Udiwani na UBUNGE katika baadhi ya majimbo na hivyo kusababisha mgogoro baina ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA).

  WAMESEMA BAADA YA MAGUFULI KUAPISHWA WATADAI CHAMA CHAO, NA KUAPA KUMFUNGISHA VIRAGO LOWASSA LA SIVYO MBOWE ARUDISHE MKWANJA ALIYOVUTA NA KUKIUZA CHAMA.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: WAMESHTUKA, CHADEMA ASILI KUDAI CHAMA CHAO BAADA YA MAGUFULI KUAPISHWA

  Maneno hayo hata kwenye kanga yapo

 3. #3
  Senior Member MV Salama's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  New York
  Posts
  1,880
  Rep Power
  8
  Likes Received
  104
  Likes Given
  80

  Re: WAMESHTUKA, CHADEMA ASILI KUDAI CHAMA CHAO BAADA YA MAGUFULI KUAPISHWA

  Vilevile kwa upande wa pili wa shilingi itakuwa ni hudhuni kubwa sana endapo huyu jamaa ataenda magogoni huku hao uliowataja kipengele cha kwanza hawatakuwa sehemu ya jahazi lake.Watajuta sana,isipokuwa ndio hivyo majuto ni mjukuu hamna namna.

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  441
  Rep Power
  6
  Likes Received
  4
  Likes Given
  0

  Re: WAMESHTUKA, CHADEMA ASILI KUDAI CHAMA CHAO BAADA YA MAGUFULI KUAPISHWA

  kilicho baki ni matokeo sio mbwembwe nyingine jumapili kila mtu na kichinjio chake ndicho kitakacho sema

 5. #5
  Senior Member Mchwa's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  161
  Rep Power
  7
  Likes Received
  3
  Likes Given
  8

  Re: WAMESHTUKA, CHADEMA ASILI KUDAI CHAMA CHAO BAADA YA MAGUFULI KUAPISHWA

  Quote Originally Posted by TataMadiba View Post
  Wanasema sasa wanaamini MSHINDI katika uchaguzi wa Urais si mwingine bali ni JOHN POMBE MAGUFULI. Lawama zote sasa wanazielekeza kwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, FREEMAN MBOWE. wanasema MBOWE hakuwa na dhamira ya kweli ya kumkaribisha LOWASSA Ndani ya chama hicho ili kujipatia ushindi bali kutimiza azma yake ya siku nyingi ya KUJIPATIA FEDHA ZA LOWASSA, azma ambayo SAID KUBENEA alisema MBOWE alikuwa nayo tangu mwaka 2013.
  Wanasema ukweli huo unadhihirishwa na mambo yafuatayo:
  1. kuwafitini kwa wanachama wa chama hicho wapamabanaji wa kweli wakiwemo ZITTO KABWE, DR. WILBROD SLAA, KITILA MKUMBO n.k. LENGO lake lilikuwa ni kuwaondoa ili kufanikisha dili lake kwani wangeweza kumzuia.

  2. Kutowahusisha CHADEMA HALISI katika Team ya Kampeni za Urais na kuwaachia CCMB wakiongozwa na FISADI MWENZA wa LOWASSA yaani SUMAYE.

  3. KUHAMISHIA FEDHA ZA CHAMA katika akaunti zake binafsi zilizoko nje ya nchi
  4. Kushindwa kabisa kumshinikiza LOWASSA kutolea ufafanuzi wa tuhuma za UFISADI zinazoelekezwa kwake, tuhuma ambazo wao ndiyo walikuwa MABALOZI wa kupita huku na kule kuwaeleza wananchi kuwa mwanasiasa huyo mwenye UKWAZI wa ajabu ni FISADI
  5. Kuongoza kutokubaliana baina ya viongozi wenza wa UKAWA katika mgawanyo wa nafasi za Udiwani na UBUNGE katika baadhi ya majimbo na hivyo kusababisha mgogoro baina ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA).

  WAMESEMA BAADA YA MAGUFULI KUAPISHWA WATADAI CHAMA CHAO, NA KUAPA KUMFUNGISHA VIRAGO LOWASSA LA SIVYO MBOWE ARUDISHE MKWANJA ALIYOVUTA NA KUKIUZA CHAMA.
  bora walivyotambua mapema maana wangekuja kuumizana huko mbeleni
  "LOWASA NI FISADI HATUWEZI KUKUPA IKULU"

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  497
  Rep Power
  5
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0

  Re: WAMESHTUKA, CHADEMA ASILI KUDAI CHAMA CHAO BAADA YA MAGUFULI KUAPISHWA

  tushawzoea kazi yenu ya kuzusha maneno tuu, hatuogopi maneno yenu

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •