Close

Results 1 to 7 of 7
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  GAZETI LA MTANZANIA LEO 7/10/2015 LIKO MTAANI KWELI?

  GAZETI LA MTANZANIA LIKO MTAANI LEO? Ikumbukwe kuwa Edward Lowassa ni mmoja wa wamiliki wa gazeti hili. Nakala yake imezuiliwa leo kuuzwa. LOWASSA NA WASHIRIKA WENZAKE WANADAIWA KULIZUIA NA SABABU KUBWA NI KAMA LINAVYOSOMEKA KATIKA UKURASA WA MBELE. LOWASSA AMEOGOPA KUWA ATAUMBUKA HASA UKIZINGATIA KUWA GAZETI LENYE HABARI HII , YEYE NI MMOJA WA WAMILIKI WAKE.

  HAKIKA KIFO CHA MTIKILA HAKIWEZI KUFUNIKWA FUNIKWA NA MAMBO MADOGO MADOGO KAMA KINGUNGE KUHAMA CCM N.K. WAANDISHI MSIOGOPE KUTUFUNULIA ZAIDI KUHUSU KIFO HIKI, MTIKILA ALIKUWA NI MTU MUHIMU SANA KATIKA TAIFA HILI, HATUWEZI KUKUBALI AZIMIKE KIRAHISI HIVYO KAMA MSHUMAA, UZALENDO WETU UTAKUWA WAPI?, UTU WETU UTAKUWA WAPI?, MAPAMBANO DHIDI YA UFISADI YATAKUWA WAPI TUKIKUBALI KIRAHISI HIVYO?
  Click image for larger version. 

Name:	IMG-20151007-WA0009.jpg 
Views:	575 
Size:	32.6 KB 
ID:	1206

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  899
  Rep Power
  7
  Likes Received
  41
  Likes Given
  12

  Re: GAZETI LA MTANZANIA LEO 7/10/2015 LIKO MTAANI KWELI?

  KAMPUNI ya New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya MTANZANIA, RAI, Bingwa, Dimba na The African, imelaani vikali, uzushi, uongo na upotoshaji wa hali ya juu unaofanywa na watu wasio na nia njema na kampuni hiyo.

  Watu hao juzi walitengeneza mfano wa gazeti la RAI lenye ujumbe hasi na kulisambaza katika mitandao ya kijamii, likiwa na taarifa mbalimbali za uongo na uzushi ambazo haziuhusu uongozi wa kampuni hiyo na magazeti yake kwa ujumla wake.

  Akizungumzia hali hiyo mjini Dar es Salaam jana, Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda amesema ameshtushwa na hatua hiyo, lakini akawataka wasomaji na wafuatiliaji wa gazeti halisi la RAI kulipuuza gazeti hilo feki.

  Alisema gazeti hilo linalosambazwa katika mitandao ya kijamii halina maana yoyote, kwani watu wanaofanya hivyo wamelenga kulichafua gazeti halisi kwa maslahi binafsi.

  Alisema hiyo ni mara ya pili kwa watu hao wenye nia ovu na gazeti hilo, kutengeneza mfano wa gazeti la RAI na kulisambaza katika mitandao ya kijamii.

  “Tumeshtushwa na hatua hii ya kurudia uovu wao, tulipoona kwa mara kwanza wametengeneza gazeti feki la RAI ambalo lina sura inayofanana na gazeti letu halisi na kuliweka katika mitandao ili kuwaaminisha watu kuwa gazeti linaloenda sokoni ndio lile ambalo lilikuwa na habari ambazo ni potofu zenye mwelekeo wa uchochezi, tulipuuza.

  Hata hivyo wahusika wa uovu ule wa awali tuliwabaini.
  “Watu hawa, wameurudia tena, sasa niseme inatosha, napenda kuwaambia wasomaji wa gazeti la RAI ambalo huchapwa kila Alhamisi kuwa, gazeti linalowekwa kwenye mitandao ya kijamii si gazeti halisi la RAI wala habari zile hazijawahi kuandikwa na RAI hata mara moja.

  “Na hata ukizisoma habari zilizomo kwenye gazeti linalosambazwa mtandaoni zimetawaliwa na dhamira ya kulipaka matope gazeti halisi la RAI, wahariri na waandishi wake kwa malengo ambayo hatujayajua.

  “Katika uchunguzi wetu tuliofanya baada ya gazeti feki kuwekwa mitandaoni kwa mara ya kwanza, tuliona kazi hiyo haramu inafanywa katika chumba kimoja cha habari ambacho watendaji na wahariri wake wana mrengo fulani wa kihabari.

  Tulikaa kimya wakati ule wa kwanza kwa maana tuliamini wangejifunza kutokana na upuuzi wao.

  “Lakini baada ya kuona wamerudia, tumeona kuna wajibu wa kuwajulisha wasomaji wetu ambao baadhi wanaingia kwenye mitandao ya kijamii kabla ya kusoma magazeti, kwamba kile ambacho wanakiona kwenye mitandao si gazeti halisi la RAI, gazeti la RAI linatoka kila siku ya Alhamisi ya kila wiki hata habari zinazowekwa kwenye gazeti hilo feki si za Alhamisi.

  “Kutokana na hali hiyo tunaangalia namna bora ya kuwasiliana na mamlaka husika za kiserikali ili kupata njia sahihi ya kuwashughulikia hawa wanaokiuka sheria ya mitandao,” alisema.

  Kibanda amewataka watu hao wenye nia ovu na kampuni ya New Habari (2006) Ltd, kuachana na mikakati yao hiyo miovu kwani haitawasaidia kufanikisha malengo yao.

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  62
  Likes Given
  126

  Re: GAZETI LA MTANZANIA LEO 7/10/2015 LIKO MTAANI KWELI?

  Quote Originally Posted by TataMadiba View Post
  GAZETI LA MTANZANIA LIKO MTAANI LEO? Ikumbukwe kuwa Edward Lowassa ni mmoja wa wamiliki wa gazeti hili. Nakala yake imezuiliwa leo kuuzwa. LOWASSA NA WASHIRIKA WENZAKE WANADAIWA KULIZUIA NA SABABU KUBWA NI KAMA LINAVYOSOMEKA KATIKA UKURASA WA MBELE. LOWASSA AMEOGOPA KUWA ATAUMBUKA HASA UKIZINGATIA KUWA GAZETI LENYE HABARI HII , YEYE NI MMOJA WA WAMILIKI WAKE.

  HAKIKA KIFO CHA MTIKILA HAKIWEZI KUFUNIKWA FUNIKWA NA MAMBO MADOGO MADOGO KAMA KINGUNGE KUHAMA CCM N.K. WAANDISHI MSIOGOPE KUTUFUNULIA ZAIDI KUHUSU KIFO HIKI, MTIKILA ALIKUWA NI MTU MUHIMU SANA KATIKA TAIFA HILI, HATUWEZI KUKUBALI AZIMIKE KIRAHISI HIVYO KAMA MSHUMAA, UZALENDO WETU UTAKUWA WAPI?, UTU WETU UTAKUWA WAPI?, MAPAMBANO DHIDI YA UFISADI YATAKUWA WAPI TUKIKUBALI KIRAHISI HIVYO?
  Click image for larger version. 

Name:	IMG-20151007-WA0009.jpg 
Views:	575 
Size:	32.6 KB 
ID:	1206
  Ilikuwa lazima ulete upuuzi huu maana mnaupika kwa sababu CCM ipo juu ya sheria soma post #2 halafu fafanua upuuzi wako

 4. #4
  Moderator
  Join Date
  Apr 2015
  Posts
  1,067
  Rep Power
  6
  Likes Received
  21
  Likes Given
  0

  Re: GAZETI LA MTANZANIA LEO 7/10/2015 LIKO MTAANI KWELI?

  hakika ww ni zaidi ya rofa magazeti yame laani vikali vitendo vya kuya ingiza magazeti yao na siasambona mnapenda kuharibu tasnia ya habari kwa ujinga mkubwa kiasi hiki

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Jul 2015
  Posts
  436
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  Re: GAZETI LA MTANZANIA LEO 7/10/2015 LIKO MTAANI KWELI?

  MUPUUZI MKUBWA WE HUNA AKILI TUTOLEE UJINGA WAKO HUO

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  Re: GAZETI LA MTANZANIA LEO 7/10/2015 LIKO MTAANI KWELI?

  duuu haya magazeti ya takuwa ya nambalapala

 7. #7
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  441
  Rep Power
  6
  Likes Received
  4
  Likes Given
  0

  Re: GAZETI LA MTANZANIA LEO 7/10/2015 LIKO MTAANI KWELI?

  Quote Originally Posted by Nica Obedi View Post
  MUPUUZI MKUBWA WE HUNA AKILI TUTOLEE UJINGA WAKO HUO
  umeona eeeeeehh

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •