Close

Results 1 to 6 of 6
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Apr 2014
  Posts
  321
  Rep Power
  7
  Likes Received
  12
  Likes Given
  1

  Saa 94 KABLA YA KIFO CHA MTIKILA

  Ni vigumu kuamini! Mchungaji! Christopher Mtikila aliyefariki dunia juzi usiku wa kuamkia jana katika kijiji cha Msolwa Wilayani Bagamoyo, Pwani jumatano ya iliyopita aliyembelea ofisi za gazeti hili(IJUMAA), Bamaga, Mwenge na kuzungumza na wandishi wa gazeti hilo,
  Alipoingizwa chumba cha maongezi hakuwa tayari kufanyiwa mahojiano maalum kwa siku hiyo akasema atapanga siku ya kufanya hivyo baada ya kujiandaa.*
  Alipotakiwa aseme neno kuhusu uchaguzi ujao alisema:
  "Napenda kusema jambo moja muhimu: MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI, JAJI DAMIAN LUBUVA NA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA, EDWARD LOWASSA NI MTU NA MKWEWE. REGINA LOWASSA NI MTOTO WA KAKA YAKE JAJI LUBUVA, HIVYO LOWASSA NI MKWE WAKE, HILI WATU WANAPASWA KULIJUA"
  Hata hivyo , Jaji Lubuva alipoulizwa na mwandishi wetu kama madai hayo yana ukweli au la alisema, NI KWELI YEYE NA REGINA LOWASSA WANATOKA SEHEMU MOJA, KONDOA MKOANI DODOMA lakini AKASHINDWA KUKUBALI AU KUKANUSHA kuhusu taarifa hizo kama wana undugu.
  Source: Ijumaa

  Click image for larger version. 

Name:	20151005_090229.jpg 
Views:	434 
Size:	39.1 KB 
ID:	1197

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: Saa 94 KABLA YA KIFO CHA MTIKILA

  Kila nafsi itaonja umauti mimi nahamini siku yake ilifika msitake kujifanya mnajua mipango ya mungu haswa nyie watu wa ccm kwani mnahisi nini juu ya kifo cha mtikila

 3. #3
  Senior Member Mchwa's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  161
  Rep Power
  7
  Likes Received
  3
  Likes Given
  8

  Re: Saa 94 KABLA YA KIFO CHA MTIKILA

  chadema njooni mkanushe maana mnahusishwa na hizo tuhumza za mpiganaji mtikila

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  Re: Saa 94 KABLA YA KIFO CHA MTIKILA

  After death your secrete will be opened to the public but difficult to obtain fact

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Jul 2015
  Posts
  436
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  Re: Saa 94 KABLA YA KIFO CHA MTIKILA

  kifo ni mpango wa Mungu, hao wenye fikra mgando wanakalia kuhusisha kifo na mambo mengine, nyie binadamu vipi mbona mnataka kumuingilia kazi muumba aliyetuumba

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: Saa 94 KABLA YA KIFO CHA MTIKILA

  Quote Originally Posted by Mchwa View Post
  chadema njooni mkanushe maana mnahusishwa na hizo tuhumza za mpiganaji mtikila
  Huwezi kukanusha upumbavu

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •