Close

Results 1 to 11 of 11
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  KIFO CHA MCH. MTIKILA CHAKUMBUSHA VIFO VYA WANASIASA CHADEMA, CCM

  Kifo cha Mwenyekiti wa Demokratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila jana alfajiri kwa ajali ya gari kimetajwa kuwa ni mwendelezo wa vifo vya aina hiyo vilivyowakumba wanasiasa wa Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni.

  "Aliondoka hapa *Ijumaa kwenda Njombe kumnadi mgombea wetu wa ubunge , Nicodemus Atoswege na walipata ajali katika kijiji cha Msolwa, Chalinze. Ndani ya gari hilo pia alikuwa Mchungaji Mgaya, Ni huyu ndiye aliyetoa taarifa za awali za ajali na kifo hiki" Alisema Katibu Mwenezi wa DP Mwambichoka Ferous.
  *
  Wanasiasa na vifo vya ajali:
  Julai 27, 2008, Makamu *Mwenyekiti wa Chadema, Chacha Wangwe, alifariki dunia kwa ajali ya gari liliyozua utata mkubwa katika maeneo ya Panda mbili mkoani Dodoma. Kabla ya kifo kile , Wangwe aliyekuwa akielekea Dar es salaam kuhudhuria mazishi ya mwanasiasa mkongwe, Bhoke Mnanka alikuwa kwenye malumbano na uongozi wa Chadema, wakati huohuo alikuwa amepania nafasi ya juu ya uongozi ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani. Katika ajali hiyo , alifariki yeye huku mtu mwingine aliyekuwa naye, Deus Malya akinusurika , hivyo kuzua maswali mengi.

  oktoba 24, 2007 , kada *na Mbunge wa CCM, Salome Mbatia , alifariki kwa ajali ya gari akiwa njiani kwenda Songea kusaka kura za ujumbe wa NEC ya CCM. Utata katika ajali hiyo ya Salome uliibuka kwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema wa wakati huo, Zitto Kabwe, naye alikuwa njiani kwenda Songea kwa shughuli za kikazi. Wakati huo Zitto aliyekuwa kwenye mgogoro wa ndani na Chadema, alisimama kwa muda Njombe na kuliona gari lake, likipita hapo na muda mfupi baadaye alikuta limepata ajali.
  *Mbunge mwingine wa Chadema aliyefariki kwa ajali za namna hiyo ni Regia Mtema huku mwezi uliopita , mgombea ubunge wa Chadema huko Lushoto, Mohamed Mtoi , naye alifariki dunia kw ajali ya gari. Marehemu Mtoi anatajwa kuwa, alikuwa na misimamo ndani ya Chadema kama waliyokuwa nayo Zitto Kabwe na Chacha Wangwe.
  Source: Raia Tanzania

  Tafakuri: *Tutakumbuka kuwa siku za hivi Karibuni, marehemu Mtikila analijitokeza waziwazi kwenye vyombo vya habari na kusema, mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa *Katiba ya Wananchi(UKAWA), Edward Ngoyai Lowassa ni fisadi na hafai kuwa rais wa nchi hii. Marehemu Mtikila alienda mbali na kusema nchi za wengine kama CHINA, LOWASSA angeshanyongwa kwa sababu ya kujihusisha na ufisadi

  Click image for larger version. 

Name:	20151005_090154.jpg 
Views:	297 
Size:	42.4 KB 
ID:	1195

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: KIFO CHA MCH. MTIKILA CHAKUMBUSHA VIFO VYA WANASIASA CHADEMA, CCM

  Hizo ni kauli tu ambzo mtu yeyote anaweza kuongea mimi namini mtikila siku yake ilifika mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina kikubwa ni kumuombea sio kuwa na imani potofu

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: KIFO CHA MCH. MTIKILA CHAKUMBUSHA VIFO VYA WANASIASA CHADEMA, CCM

  CHADEMA kuna wanyonya damu

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: KIFO CHA MCH. MTIKILA CHAKUMBUSHA VIFO VYA WANASIASA CHADEMA, CCM

  Nambalapala nyosha maelezo wanyonya damu wakina nani?

 5. #5
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: KIFO CHA MCH. MTIKILA CHAKUMBUSHA VIFO VYA WANASIASA CHADEMA, CCM

  Raia Tanzania kumbukeni kuna maisha baada ya kampeni hizi.

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  CHADEMA kuna wanyonya damu
  Hivi siku hizi Ramadhan Ighondu ni mwana Chadema?

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: KIFO CHA MCH. MTIKILA CHAKUMBUSHA VIFO VYA WANASIASA CHADEMA, CCM

  Nawapongeza Raia Tanzania kwa kusimamia ukweli

 7. #7
  Senior Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  473
  Rep Power
  6
  Likes Received
  10
  Likes Given
  6

  Re: KIFO CHA MCH. MTIKILA CHAKUMBUSHA VIFO VYA WANASIASA CHADEMA, CCM

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  CHADEMA kuna wanyonya damu
  tukizungumzia msibaa tuache ushabiki Mtikila alikuwa analeta changamoto kwa vyama vyote vya siasa tz na mungu ameamuwa kumpumzisha mahali pema peponii amin

 8. #8
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  441
  Rep Power
  6
  Likes Received
  4
  Likes Given
  0

  Re: KIFO CHA MCH. MTIKILA CHAKUMBUSHA VIFO VYA WANASIASA CHADEMA, CCM

  Quote Originally Posted by TataMadiba View Post
  Kifo cha Mwenyekiti wa Demokratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila jana alfajiri kwa ajali ya gari kimetajwa kuwa ni mwendelezo wa vifo vya aina hiyo vilivyowakumba wanasiasa wa Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni.

  "Aliondoka hapa *Ijumaa kwenda Njombe kumnadi mgombea wetu wa ubunge , Nicodemus Atoswege na walipata ajali katika kijiji cha Msolwa, Chalinze. Ndani ya gari hilo pia alikuwa Mchungaji Mgaya, Ni huyu ndiye aliyetoa taarifa za awali za ajali na kifo hiki" Alisema Katibu Mwenezi wa DP Mwambichoka Ferous.
  *
  Wanasiasa na vifo vya ajali:
  Julai 27, 2008, Makamu *Mwenyekiti wa Chadema, Chacha Wangwe, alifariki dunia kwa ajali ya gari liliyozua utata mkubwa katika maeneo ya Panda mbili mkoani Dodoma. Kabla ya kifo kile , Wangwe aliyekuwa akielekea Dar es salaam kuhudhuria mazishi ya mwanasiasa mkongwe, Bhoke Mnanka alikuwa kwenye malumbano na uongozi wa Chadema, wakati huohuo alikuwa amepania nafasi ya juu ya uongozi ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani. Katika ajali hiyo , alifariki yeye huku mtu mwingine aliyekuwa naye, Deus Malya akinusurika , hivyo kuzua maswali mengi.

  oktoba 24, 2007 , kada *na Mbunge wa CCM, Salome Mbatia , alifariki kwa ajali ya gari akiwa njiani kwenda Songea kusaka kura za ujumbe wa NEC ya CCM. Utata katika ajali hiyo ya Salome uliibuka kwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema wa wakati huo, Zitto Kabwe, naye alikuwa njiani kwenda Songea kwa shughuli za kikazi. Wakati huo Zitto aliyekuwa kwenye mgogoro wa ndani na Chadema, alisimama kwa muda Njombe na kuliona gari lake, likipita hapo na muda mfupi baadaye alikuta limepata ajali.
  *Mbunge mwingine wa Chadema aliyefariki kwa ajali za namna hiyo ni Regia Mtema huku mwezi uliopita , mgombea ubunge wa Chadema huko Lushoto, Mohamed Mtoi , naye alifariki dunia kw ajali ya gari. Marehemu Mtoi anatajwa kuwa, alikuwa na misimamo ndani ya Chadema kama waliyokuwa nayo Zitto Kabwe na Chacha Wangwe.
  Source: Raia Tanzania

  Tafakuri: *Tutakumbuka kuwa siku za hivi Karibuni, marehemu Mtikila analijitokeza waziwazi kwenye vyombo vya habari na kusema, mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa *Katiba ya Wananchi(UKAWA), Edward Ngoyai Lowassa ni fisadi na hafai kuwa rais wa nchi hii. Marehemu Mtikila alienda mbali na kusema nchi za wengine kama CHINA, LOWASSA angeshanyongwa kwa sababu ya kujihusisha na ufisadi

  Click image for larger version. 

Name:	20151005_090154.jpg 
Views:	297 
Size:	42.4 KB 
ID:	1195
  Huu udanganyifu utaisha lini ajali ya Salome Mbatia ilitokea kabla ya Njombe eneo la Kibena huyo zito kabwe akiwa Njombe aliliona gari la Salome Mbatia likipita baadae kidogo akaona kapata ajali ndugu yangu acha uongo wahabari hii kama huna uelewa na kitu usipost wapo wanao jua ishu kuliko hata ww

 9. #9
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: KIFO CHA MCH. MTIKILA CHAKUMBUSHA VIFO VYA WANASIASA CHADEMA, CCM

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Nawapongeza Raia Tanzania kwa kusimamia ukweli
  Unawajaza ujinga tu hao mabwege, au una uwezo wa kuwapa ruzuku baada ya uchaguzi? Wenzao Uhuru na Habari Leo wanapata ruzuku ndiyo maana wameamua kuwa wehu moja kwa moja.

 10. #10
  Senior Member Mchwa's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  161
  Rep Power
  7
  Likes Received
  3
  Likes Given
  8

  Re: KIFO CHA MCH. MTIKILA CHAKUMBUSHA VIFO VYA WANASIASA CHADEMA, CCM

  hiki chama kifutwe tu hakina maana yoyote ile

 11. #11
  Senior Member
  Join Date
  Jul 2015
  Posts
  436
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  Re: KIFO CHA MCH. MTIKILA CHAKUMBUSHA VIFO VYA WANASIASA CHADEMA, CCM

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  CHADEMA kuna wanyonya damu
  CCM KUNA MAZOMBI YANA KULANA YENNYEWE KWA YENYEWE , WAJANJA WAMESTUKA WAMETOROKEA UKAWA

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •