Close

Results 1 to 7 of 7
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Matukio makubwa mawili yaliyotokea leo Oktoba 4, 2015 yanatufunza nini?

  Asubuhi tulipata taarifa kuwa aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha DP Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali na kufariki papo hapo. Sote tunafahamu msimamo wa Mtikila juu ya Lowasa na hasa baada ya kuteuliwa na CHADEMA kuwa mgombea Urais kupitia UKAWA.

  Baadaye mchana tunapata taarifa kuwa mwanasiasa Mkongwe, Kingunge Ngombale Mwiru anatangaza kujivua uanachama wa CCM ijapokuwa hajatangaza kwenda kwenye chama chochote. Taarifa za Kingunge kuongea na Waandishi wa Habari zimepatikana muda mfupi baada ya taarifa za Mchungaji Mtikila kufariki dunia.

  Kwa weledi wa siasa utaelewa kwanini matukio haya mawili, kifo cha Christopher Mtikila na kujiondoa Kingunge yameambatana. Haya matukio yameambatana kimkakati zaidi na waratibu wa matukio yote mawili ni hao hao. Na tukio la kujiondoa kwa Kingunge limewekwa ili kutufanya tusahau tukio la asubuhi kwa vile Kujiondoa kwa Kingunge kwa mujibu wa walioratibu matukio yote mawili chini ya usimamizi wa Apson Mwang'onda ni tukio kuu kuliko kifo cha Mtikila. maana yake ni kwamba Wamemuua Mtikila na wamemtaka Kingunge ajiondoe CCM ili tukio la Mtikila limezwe na tukio la kujiondoa Kingunge.

  Weledi watanielewa.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  Re: Matukio makubwa mawili yaliyotokea leo Oktoba 4, 2015 yanatufunza nini?

  Tunaomba utuhakikishie uhusiano wa matukio haya mawili unakitu tueleze vinginevyo ww unatakiwa kuwa responsible kwa mjibu wa sheria huwezi kuzungumza kitu ambacho hakina ushahidi naww unataka kuuaminisha umma tueleze mpango huo umesukwa vip

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  62
  Likes Given
  126

  Re: Matukio makubwa mawili yaliyotokea leo Oktoba 4, 2015 yanatufunza nini?

  Kahaba wa kisiasa utaeleweka naq maqkahqaba wenzio tu.

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Matukio makubwa mawili yaliyotokea leo Oktoba 4, 2015 yanatufunza nini?

  Quote Originally Posted by Mkombozi Ubungo View Post
  Tunaomba utuhakikishie uhusiano wa matukio haya mawili unakitu tueleze vinginevyo ww unatakiwa kuwa responsible kwa mjibu wa sheria huwezi kuzungumza kitu ambacho hakina ushahidi naww unataka kuuaminisha umma tueleze mpango huo umesukwa vip
  Fuatilia hapa hapa Mf. Naendelea kushusha hoja moja hadi nyingine. Tutaelewana tu

 5. #5
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Matukio makubwa mawili yaliyotokea leo Oktoba 4, 2015 yanatufunza nini?

  Nambalapala Una hoja gani zaidi ya kurusha vipeperushi vinavyoandaliwa na wehu wenzio wa kitengo.Upuuzi huu wataamini wapuuzi wa Lumumba tu.

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: Matukio makubwa mawili yaliyotokea leo Oktoba 4, 2015 yanatufunza nini?

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Fuatilia hapa hapa Mf. Naendelea kushusha hoja moja hadi nyingine. Tutaelewana tu

  Una hoja gani wewe zaidi ya “kukopi na kupesti” toka mtaa wa pili.

 7. #7
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: Matukio makubwa mawili yaliyotokea leo Oktoba 4, 2015 yanatufunza nini?

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Fuatilia hapa hapa Mf. Naendelea kushusha hoja moja hadi nyingine. Tutaelewana tu
  Nambalapala nahisi unamfundisha mungu kazi kwani mtikila asife yeye nani mimi namini siku yake ilifika hakuna mtu atakaye weza kukimbia umauti

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •