Close

Results 1 to 6 of 6
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  236
  Rep Power
  7
  Likes Received
  7
  Likes Given
  6

  Star tv leo: Uwepo wa Rushwa ya Ngono vyuoni,nini tatizo hasa

  Leo asubuhi kutakuwa na mjadala kuhusu uwepo wa ngono.


  Uwepo wa Rushwa ya Ngono vyuoni,nini tatizo hasa?
  N:B
  Kama una rejea pia tuandikie,na kama upo chuo chochote,tuambie uhalisia wa rushwa ya ngono upoje hapo.
  Siasa za tanzania ndio siasa bora kuliko siasa zote duniani.

 2. #2
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  9
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Star tv leo: Uwepo wa Rushwa ya Ngono vyuoni,nini tatizo hasa

  hii husababishwa na wanafunzi kupenda kufauli bila kutoa jasho na wakati mwingine ni mbinu wazitumiazo ma professors kuwafelisha wanafunzi makusudi ili wakubaliane na matakwa yao ya kutoa ngono!

 3. #3
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  75
  Rep Power
  7
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Star tv leo: Uwepo wa Rushwa ya Ngono vyuoni,nini tatizo hasa

  Mi naona wenyewe wamejisahau. Hawajiamini kuwa wanaweza kufanya vitu kwa kujitegemea. Angalau waombe msaada kidogo lakini huku kutaka wanaume ndio wawafanyie kila kitu, inawadhuru. Lazma wabadilike wenyewe wachukue dhamana yao ya kujiongoza.

  Wajue siku zote ndege akipitisha mdomo wake kwenye kifuu chenye mtama, atanaswa tu!

 4. #4
  Banned
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  85
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Star tv leo: Uwepo wa Rushwa ya Ngono vyuoni,nini tatizo hasa

  Shetani yuko kazini, mda wake unazidi kuisha.

 5. #5
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Malambamatatu
  Posts
  70
  Rep Power
  7
  Likes Received
  1
  Likes Given
  4

  Re: Star tv leo: Uwepo wa Rushwa ya Ngono vyuoni,nini tatizo hasa

  Ni vihere here vyao tu hao.

 6. #6
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  31
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Star tv leo: Uwepo wa Rushwa ya Ngono vyuoni,nini tatizo hasa

  katika swala hili kwanza tuliangalie katika sura mbili, sura ya kwanza ni wanafunzi wa kike wenyewe kuvaa nusu uchi na kupenda vitu vya bwelele bila kujihangaisha, mfano mimi niko UDSM nafikri kwa wale walioko college ya cass wanajua kama ili ufanye UE lazima ufikishe marks 16 basi ma seminar leader hutumia nafasi hii kuwarubuni wasichana, pili ni wasichana wa sasa kukosa kujiamini na pia na kutokujua utu wao uko wapi cha msingi wajitume

 7. 23-02-2014, 05:15

  Banned


Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •